Nimehama Simba rasmi

Utahama timu ngapi mkuu? Maana Kila timu duniani zinapitiaga vipindi vigumu na vya mpito
 
Hongera kwa uamuzi mzuri wenye busara.. Timu sio kabila kwamba watu awahami..
 
VIONGOZI wa Simba hawajali feelings za Fans wao.
 
Siwezi kuhama ila nitaacha kufuatilia mpaka irudi kwenye top,kwa sasa nimejiandaa kisaikolojia kwamba ni mbovu kwahiyo hata ikifungwa maumivu ni kidogo ,vinginevyo mtu unaweza kufa kwa presha bure
 
Kupanga ni kuchagua, karibu sana kwenye timu ya wananchi huko utakufa kwa stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…