wana jf wenye amani na furaha zaidi ni wanaChit chat....wenye hasira, visasi,kukonda na presha muda wote jukwaa la siasa...wenye busara zaidi na wavumilivu ni jukwaa la great...wenye vijembe na ushauri mzuri ni MMU.....Ongeza na wewe..... [:ranger:]
na huko ban hazichezi mbali.!
wana jf wenye amani na furaha zaidi ni wanaChit chat....wenye hasira, visasi,kukonda na presha muda wote jukwaa la siasa...wenye busara zaidi na wavumilivu ni jukwaa la great...wenye vijembe na ushauri mzuri ni MMU.....Ongeza na wewe..... [:ranger:]
Kusiko na ban kabisa na stress za maisha......Jukwaa la Utambulisho.
halafu hata jukwaa la elimu watoto wanatoka mapovu wakisubiri selection jukwaa la malalamiko kuna watu nahisi wanakula ban kule maana wanahamishia malumbano huko
Eti jukwaa la siasa wanakonda,presha NO????????
Bado cjakubali hili la jukwaa tajwa!
Ngoja wadau wako kwenye kusherekea Eid Mubaraka waje!
mkuu LiverpoolFC wewe mwenyewe ni mzoefu wa jukwaa la siasa... Kama mgeni unaweza kufikiri nchi imeuzwa yote,kikwete anaishi ulaya,malawi wamevamia nchi, waraabu wamepakia, twiga wote mbugani,makinda hajui kabisa kanuni za bunge,Majaji wote ni voda fasta,waislam wamechachamaa vibaya, lowassa ndio rais jk kivuli tu,Chadema ndio wanaongoza nchi na ccm ndi wapinzani,Nappe amechanganyikiwa...........mengine utajazia mwenyewe.!!!
ni kweli mimi ni shabiki mzuru tu wa lile jukwaa. Ila lazima uwe na kwa kupozea machungu,mara nyini nikiudhika naenda Chit chat na MMU huko nakutana na visa na mikasa ya mapenzi, nikipitia comment za wadau lazima nitoke nimetabasamu.!!Ndo umegundua leo?
Hahahahaaah!! Ndio maana yake.mkuu kwa hiyo unashauri ili kuepukana na ban tuwe tunapokea wegeni tu.?
halafu hata jukwaa la elimu watoto wanatoka mapovu wakisubiri selection jukwaa la malalamiko kuna watu nahisi wanakula ban kule maana wanahamishia malumbano huko