Nimegundua

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,121
Reaction score
4,856
Bila kupoteza mda niende mazima kwene talk ,Kutokana na uzoefu wangu kutembea mikoa mingi nimegundua ya kua mikoa ambayo ina madada poa wengi wanawake huwa hawaringi sana yaani ata utongozaji wao inakua rahisi maana huwa wagumu

Mfano Iringa mademu wanaringa sana yaani unaweza fukuzia demu mwezi utafikiri unafuatilia kazi wakati mikoa ambayo ina madada poa wengi kama moro,dar,nk wanawake huwa hawaringi sana

Maada inaendelea.........
 
somebody up there,they said your sirid iz total rubish.

so and me am saying your upstair cant go to hard talk,because you are from chura wa kijani.

ndugu jf's member am sorry for my bad english,sisi ccm lugha yetu ni kiswahili.
 
Iringa madem warais sana wakijua ww unatokea dar bhs ushamaliza labda ww ni domozege


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Maada au mada?

Tafsiri kamili ya dada poa ni dada mzuri.

Kinyume chake ni dada mbaya/dada ambae sio poa.

Kitu poa ni kitu kizuri.
 
Nenda manyara ukamalizie huo utafiti kule tafadhali, hakika hautajutia tena kaweka kituo mrubadao au katesh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…