Admin1988
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 1,611
- 1,864
Dogo usiharakie MAPENZI yaache yaje kwa muda wake yenyewe!Hbarini zenu wanaJF,
POleni na pilika na mihangaiko ya maisha chini ya utawala wa baba Jesika.!!
Nilopotea JF for about 6 months.NiliwaMiss sana ndugu.
Straight to the point;mimi ni kijana barobaro ,umri 20s.Kuna dada niliweka nia kumuoa kama mambo yakikaa sawa(sijawahi kuwa nae ktk mahusiano ya kimapenzi).
Nilijiapiza nisijihusishe nae kimapenzi kbla ya ndoa kwa kuwa ckutaka kuwa nje ya mfumo wetu(kimaadili).
Ila ilitokea hali isiyokuwa ya kawaida,kwani binti alianza kutokujibu txt and samutaimzi tukiongea anaongea kwa 'mkato'.Nilijiuliza bila majibu........
Ila baadae alifanikiwa kuniambia kuwa "tatizo aliwahi kuwa na mwanaume mwingine,ila mwanaume huyo alimtenda(kumwacha) japo cjajua sababu."
So kila akikukumbuka "situesheni" analia na inampelekea kujiaminisha kuwa hakuna mwanaume muaminifu....!!
Kwa upande wangu imeniathiri na ninahc taabu km atakuwa ktk hali hiyo..!!
Samusingi i have noted;ni kuwa wanawake wengi huwa wanazama ktk mapenzi kwa wapenzi wao wa mwanzo(sijajua tatzo)...
Nishaurini nimsaidieje ili arudishe imaani na wanaume(esp.MIMI)..
Sent using Jamii Forums mobile app
Umri wako bado sana kuamua ni yupi SAHIHI kwako!
Utakuja jutia ufungue tena uzi humu JF kuwa NI SHAURINI MKE WANGU.........
Maana mwenzio ana EXPERIENCE hadi ya kuachika, nawewe unaonekana bado MBICHI 20yrs still young Mdogo wagu.
Sent using Jamii Forums mobile app