Gyole
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 7,008
- 7,091
Wewe 20 huyo mtarajiwa ana miaka mingapi? Tafuta maisha kwanza acha mapepe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmeongeza vionjo ktk lugha but....Najua kidgo kingeliMmmmhhhhh???????
Duuuuh!ila kweli eeeehKuna watu n wavivu sana kufikir sasa mkuu hujui kuwa Huyo hakupend wee Bali yule wa kwanza
Onyo: ukioa Huyo cku akija yule wa kwanza jiandae kuja na uz wa maimivu makali humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Co 20 ni 20sWewe 20 huyo mtarajiwa ana miaka mingapi? Tafuta maisha kwanza acha mapepe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ttzo ni kuwa wengne tunahofia kuendelea kuzini...
Umeambiwa ukweli toa doz ya ukweli mpe mahaba mazito kua nae karibu
watu wanafiwa Na waume wana move on sembuse mchumba sugu!Okay
Nashukuru sasa dada anguNakushauri uachane nae maana atakuumiza kichwa tu...mkiwa ndani ya ndoa utatetereka kidogo basi atarudisha chuki zake upyaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajrbu ila mapenzi ntajitahd kuepuka kwanza,itokee km ajari lbdaUmeambiwa ukweli toa doz ya ukweli mpe mahaba mazito kua nae karibu
Atamsahau![]()
watu wanafiwa Na waume wana move on sembuse mchumba sugu!
DJ sepetu
ThenkisiOkay
Gonga papuchi hiyoNitajrbu ila mapenzi ntajitahd kuepuka kwanza,itokee km ajari lbda
Sent using Jamii Forums mobile app