MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Habarini zenu wanaJF,
Poleni na pilika na mihangaiko ya maisha chini ya utawala wa baba Jesika.
Nilopotea JF for about 6 months.NiliwaMiss sana ndugu.
Straight to the point; mimi ni kijana barobaro, umri 20s. Kuna dada niliweka nia kumuoa kama mambo yakikaa sawa (sijawahi kuwa nae katika mahusiano ya kimapenzi).
Nilijiapiza nisijihusishe nae kimapenzi kabla ya ndoa kwa kuwa sikutaka kuwa nje ya mfumo wetu (kimaadili).
Ila ilitokea hali isiyokuwa ya kawaida, kwani binti alianza kutokujibu txt and samutaimzi tukiongea anaongea kwa 'mkato'.Nilijiuliza bila majibu.
Ila baadae alifanikiwa kuniambia kuwa "tatizo aliwahi kuwa na mwanaume mwingine,ila mwanaume huyo alimtenda (kumwacha) japo sijajua sababu."
So kila akikukumbuka "situesheni" analia na inampelekea kujiaminisha kuwa hakuna mwanaume muaminifu.
Kwa upande wangu imeniathiri na ninahisi taabu kama atakuwa ktk hali hiyo.
chasingi i have noted; ni kuwa wanawake wengi huwa wanazama ktk mapenzi kwa wapenzi wao wa mwanzo(sijajua tatzo).
Nishaurini nimsaidieje ili arudishe imani na wanaume(esp mimi).
Sent using Jamii Forums mobile app