YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,903
- 51,970
- Thread starter
- #21
Raisi ana mshahara na marupupu kibao na hana mtoto wakulea na ana fungu la donation huwezi mzuia asigaweTuonyeshe kwenye bajeti ni wapi zimetengwa fedha za kugawa kama njugu rais akiwa ziarani? Hivi SSH toka ameingia madarakani umemuona akigawa fedha barabarani au kununua jogoo??
Hata mbunge ana hella za kugawa za mfuko wa jimbo