Nimegundua wabunge hawasomi bajeti ndio maana wanahoji pesa za mikopo kipindi Cha Magufuli zilienda wapi?

Tuonyeshe kwenye bajeti ni wapi zimetengwa fedha za kugawa kama njugu rais akiwa ziarani? Hivi SSH toka ameingia madarakani umemuona akigawa fedha barabarani au kununua jogoo??
Raisi ana mshahara na marupupu kibao na hana mtoto wakulea na ana fungu la donation huwezi mzuia asigawe

Hata mbunge ana hella za kugawa za mfuko wa jimbo
 
Bajeti Waziri wa Fedha hubeba kila kitu na kuwa itakuwa financed vipi

Nimegundua Kuna Shida Mfano Nape anasema ohhh si mlisema Serikali mambo yote mnafanya kwa hell za ndani?

Hivi kipindi Cha bajeti Waziri wa Fedha aliposoma alikuwa kala au? Sababu financing ya bajeti huonesha wazi kila kitu

Spika, Nape anapokea posho bure mikopo mnaidhinisha mkipitisha bajeti kuwa sehemu ya financing halafu baadaye mlaleta miyowe eti ohh Bunge hakikupitisha, stupid you

Kwa hiyo miaka yote mitano alikuwa anabweka tu ndiyoooo bajeti ipite wakati hajui hata kilichomo? Kuwa Kuna mikopo mle!
Mkuu

wala usipoteze muda wako kufikiri sana kuhusu hao wabunge watokanao na CCM ndio wanaoongoza kwa wizi, kusaidia wezi na kushiriki kutunga sheria zenye mianya ya kutenda uharifu bila kutiwa hatiani.
 
Mwenzio anawapambania wanaomnyonya, 🤸
 
Kipimo Cha ubwege bungeni Ni Nape Nnauye ukisena ohh mbunge wetu bwege uliza Ni bwege Kama Nape Nnauye asiyesoma bajeti ya waziri wa fedha kwa miaka mitano asiyejua mle ndani mna mikopo na akaipitisha?
Hivi NAPE MNAUYE ni wa chama gani cha siasa nchini?
 
Uliwahi kusoma au kusikia bajeti ya ununuzi wa bombardier?
Unaelewa nilichoongea bajeti huwa ina maeneo mawili matumizi ya kawaida na miradi mbali mbali iwe Covid nk nenda kasome na bajeti huwa iko linked na Ilani ya Chama chukua kwanza ilani ya CCM inasemaje halafu chukua bajeti inayosomwa na waziri wa fedha ambaye ni wa chama tawala check Kama Hilo la ku address usafiri wa anga kwenye ilani na bajeti Kama limo ndio uje kupiga miyowe humu

Nape ilani ya CCM haijui na bajeti haijui alibebwa tu CCM kana rambirambi kwa familia kwa kifo Cha baba yake mzazi mzee Moses Nnauye rambirambi ndio CCM wakasema Mwanenu wanafamilia msilie Sana tutambeba mwanae Kumbe Zigo afadhali CCM wangetoa tu mchango wa pesa hata ahadi hewa halafu waachane naye na familia
 
Hawa wana mpango wa kum-attack JPM kwa kuwa aliwazibia mianya yote ya upigaji. Kishapo waanze tena kupiga kama walivyozoea! Ninaililia nchi yangu Tanzania.
 
We
Kipimo Cha ubwege bungeni Ni Nape Nnauye ukisena ohh mbunge wetu bwege uliza Ni bwege Kama Nape Nnauye asiyesoma bajeti ya waziri wa fedha kwa miaka mitano asiyejua mle ndani mna mikopo na akaipitisha?
Wewe naye ficha ujinga wako! Tatizo ukabila umekujaa sana!
Nape haoji kama pesa zilikopwa au la ! Anachohoji ni kama fedha zilizokopwa zinaendana na dhamani ya miradi iliyokopewa au kulikuwa na upigaji?! Sasa ujinga wa Nape uko wapi!? Wewe ndo Zuzu uliyekuwa unadanganywa na Magufuli kuwa hakopi na anatekeleza miradi kwa fedha za ndani!
 
Bajeti Waziri wa Fedha hubeba kila kitu na kuwa itakuwa financed vipi

Nimegundua Kuna Shida Mfano Nape anasema ohhh si mlisema Serikali mambo yote mnafanya kwa hell za ndani?

Hivi kipindi Cha bajeti Waziri wa Fedha aliposoma alikuwa kala au? Sababu financing ya bajeti huonesha wazi kila kitu

Spika, Nape anapokea posho bure mikopo mnaidhinisha mkipitisha bajeti kuwa sehemu ya financing halafu baadaye mlaleta miyowe eti ohh Bunge hakikupitisha, stupid you

Kwa hiyo miaka yote mitano alikuwa anabweka tu ndiyoooo bajeti ipite wakati hajui hata kilichomo? Kuwa Kuna mikopo mle!
Bro ndege zilipitishwa na bunge la chato?
 
Yaani tuna wajinga baadhi wajinga mno kila kitu Kiko ndani ya bajeti

Ndio maana serikali huuza dhamana za serikali nk kuwa bajeti Kuna hela zitatokana na Kodi na zingine mikopo

Kasome bajeti zote za miaka yote NAPE IS HOPELESS NI MBUNGE MZIGO BUNGENI

Yale matabu ya bajeti waziri wa fedha anawapa soft copy akae nayo tu ofisini au asingewagawia iwe hard copy au soft copy hawasomi ndio wanakuja na miswali ya kibwege Kama ya Nape
Mikopo na manunuzi nje ya bajeti yanajulikanaje mana jamaa alikua man alone
 
Back
Top Bottom