Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

mbeta1983

Member
Sep 26, 2016
56
118
Habari,

Nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.

Naombeni mnishauri, ushauri wa kujenga tafadhali siyo kejeli.

Asanteni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…