ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
- Thread starter
-
- #21
Utakuwa mbabe wewe hzo za FBI ndo nataka niwe naziona sasa......Daah,me niko differ napenda movies za mkono bhana mwanzo mwisho,..cjui FBI huyu kazingua hivi mara vile ndo raha yanguu ila hizo za kina Manollo cjui marisimba naona muda hauendi kabisaaaa
Fanya hivo mkuu utainjoy balaa na utasahau hayo yakina marmar usisahau tuu kuleta mrejesho baada ya kuangalia,...me kwakuwa ni 'gal' nna ubabe wangu flani hivi amazing....yani a don't care kama Cynthia hahahahUtakuwa mbabe wewe hzo za FBI ndo nataka niwe naziona sasa......
Usijariio......hahahaha eti ubabe fulani amizingFanya hivo mkuu utainjoy balaa na utasahau hayo yakina marmar usisahau tuu kuleta mrejesho baada ya kuangalia,...me kwakuwa ni 'gal' nna ubabe wangu flani hivi amazing....yani a don't care kama Cynthia hahahah
Na kweli jiandae...ngoja waje uone watakavyonishambulia ahahahahahahah
Ukiongea namna hiyo uweke na mifano hai.We mchaga nini?! maana wao wanabaka hadi leo' nashangaa huwaga hakuna kesi za ubaguzi huko uchagani
yani unakula mtama unashtukia kitu ipo ndanii hasa kipindi cha x mass we unadhani kwaniini wanasafiri xana x mass hawaNaga kubembeleza....
watani zangu ni sheeeda
kiruu ubabe nao utakosa utamu.. we kuwa a kawaida tuLive ni ubabe tuu sasa