mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Hivi majuzi niliweka tracking software kwenye simu ya mpenzi wangu na nikawa namfatilia kwa karibu na nyendo zake.
Sasa nimegundua kuna rafiki yake mmoja ambaye namfahamu kwani walisoma wote, huyu rafiki yake nimekuta ndio anajidai mshauri mkuu wa mahusiano yetu.
Nimegundua asilimia kubwa ya mambo ambayo anafanya msichana wangu yanatokana na influence ya huyu rafiki yake.
Naombeni ushauri nifanyeje?