STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,246
Katika uchunguzi nilioufanya nimegundua kwamba maprodyuza wengi (karibia wote) wanavipaji vikubwa sana vya kuimba, na endapo wataamua kuingia kwenye tasnia ya uimbaji basi hutoa Hitsong kali sana.
NITATOA MIFANO MICHACHE
Mr. blue Ft Man Walter- Nipende Kama Nilivyo.
-Jay moe Ft P Funk- Famous
-Fid Q ft P funk - Danger
- Mswaki - Open letter(RIP Ngwair)
-Nah Reel( zote)
-Baghdad Ft Isam- Foleni
Roma ft Geof Master- Ivan
N.K
Hiyo ni baadhi ya mifano hai iliyonifanya niamini kwamba Maprodyuza wengi wana vipaji na hao wachache wamevidhihirisha kwa bahati mbaya bila ya wao kuamua.