Nimegundua hapa duniani hakunaga mateso

Nimegundua hapa duniani hakunaga mateso

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
847
Reaction score
2,954
images (3).jpeg


Wakati wewe unamtazama mtu anayenyeshewa na mvua unamuona akisikia baridi na mateso.

Lakini ukweli ni kwamba huyo mtu wala hapati shida na ndo maana hata hakimbii bali ni anatembea tu.


images (4).jpeg


Hivyo hivyo kama umewahi kushuhudia mtu akipigwa na ukakuta halii tena maana mwili huwa unabadilika na kuzoea hali ya wakati huo.

Ni kama mtu wa njombe kwenda dar atasikia kuteseka na joto na wa dar aende njombe atajisikia mateso ya baridi ila wenyeji wala hawajali.

Gerezani ni sehemu mbaya na ya mateso lakini ukifika huko watu hupiga story na kufurahia kabisa.

Hili tunachukua mfano kwa lisu kwani kila siku akiwa mahakamani huonyesha tabasamu na wala sio majuto.

Namaanisha kadri Serikali yetu inavokuwa inateka na kuua watu basi watu tumezoea na sio kitu kigeni tena hivo watu hawataogopa tena.

Je, ikiteka na kuua wakosoaji wake ni wanapungua au wanaongezeka mara mbili.?
 
Back
Top Bottom