Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Nimefurahi sana aliyekuwa mbunge wa Iringa, Msigwa Peter kuangushwa chini, Alikuwa na dharau sana ukimfata Kumueleza Shida akusaidie kama Mwananchi. Aliutumia ubunge kama Kitega uchumi cha kujinufaisha yeye binafsi.
Jimbo lingine la Ubungo. Alilokuwa analitumikia Kubenea, alilitelekeza mwisho wa siku akalikimbia aliyekuwa meya Boniface Jacob na yeye ilikuwa ukimfata akusaidie kama mwananchi anakukimbia.
Kifupi Wapinzani waligeuza ubunge sehemu ya Kujinufaisha wao binafsi.
Ni wabunge wachache wa upinzani Walikuwa kwa ajiri ya Wananchi.
Heche John , huyu kazi yake ilikuwa ni kupinga tu kila kinachofanywa na serikali.
Mwisho nashukuru Msigwa kupigwa chini, akatulie sasa kwenye Car wash yake aliyowekeza, pia arudi kanisani kwa Waumini aliowatelekeza, Akajifunze sasa na Kauli nzuri.
Mkuu tunadaiwa hapa hujatokea kulipaNaomba Tazama haka ka video. Wakati unatazama chukua na soda moja nakuja kulipa
Ulikuwa unazunguka kwenye majimbo ya wapinzani kupiga vizingaNimefurahi sana aliyekuwa mbunge wa Iringa, Msigwa Peter kuangushwa chini, Alikuwa na dharau sana ukimfata Kumueleza Shida akusaidie kama Mwananchi. Aliutumia ubunge kama Kitega uchumi cha kujinufaisha yeye binafsi.
Jimbo lingine la Ubungo. Alilokuwa analitumikia Kubenea, alilitelekeza mwisho wa siku akalikimbia aliyekuwa meya Boniface Jacob na yeye ilikuwa ukimfata akusaidie kama mwananchi anakukimbia.
Kifupi Wapinzani waligeuza ubunge sehemu ya Kujinufaisha wao binafsi.
Ni wabunge wachache wa upinzani Walikuwa kwa ajiri ya Wananchi.
Heche John , huyu kazi yake ilikuwa ni kupinga tu kila kinachofanywa na serikali.
Mwisho nashukuru Msigwa kupigwa chini, akatulie sasa kwenye Car wash yake aliyowekeza, pia arudi kanisani kwa Waumini aliowatelekeza, Akajifunze sasa na Kauli nzuri.
Mtumikie Mungu utaiona pepo mkuu Imani yako sio ya mchezoMsigwa anarudi. Uchaguzi huu utafutwa tu. Mark my words.
Hawa jamaa kama wangejua wananchi wangewagaragaza hivi wasingemaliza maneno yote kipindi cha kampeni, ila tuliwaonya humu jukwaani na kuwasihi CCM wamejipanga kweli kweli wakatubishia matokeo yake ndio haya sasa.
1Petro 2: 13-17
13Basi, jiwekeni chini ya mamlaka yote ya kibinadamu, kwa ajili ya Bwana: utii kwa mfalme aliye mtawala mkuu,
14utii kwa wakuu wa mikoa ambao wameteuliwa naye kuwaadhibu wahalifu na kuwasifu watendao mema.
15Maana Mungu anataka mweze kuyakomesha maneno ya kijinga ya watu wasio na akili kwa matendo mema mnayofanya.
16Ishini kama watu huru; lakini msiutumie uhuru wenu kuuficha ubaya, bali ishini kama watumishi wa Mungu.
17Waheshimuni watu wote, wapendeni ndugu zenu waumini, mcheni Mungu, mheshimuni mfalme.
na, mtapata tuzo gani mkivumilia mapigo mnayostahili kwa sababu ya makosa yenu? Lakini kama mnavumilia mateso hata ingawa mmetenda mema, Mungu atawapeni baraka kwa ajili hiyo.
Hawa jamaa kama wangejua wananchi wangewagaragaza hivi wasingemaliza maneno yote kipindi cha kampeni, ila tuliwaonya humu jukwaani na kuwasihi CCM wamejipanga kweli kweli wakatubishia matokeo yake ndio haya sasa.
Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
. Mbn Sasa nyinyi wenye akili hamkuchaguliwa?Ukitaka kujua akili za watu wa CCM angalia wanachoposti humu ndani kinafanana na walichokuwa wanachangia wabunge wao bungeni. jiulize sasa bunge linaenda kutawaliwa na akili kama hizi tunalipeleka wapi Taifa
Wamechanganyikiwa maskini...Penicillin injection inauma sana tuwape pole jamani.Waliosema Mungu hawezi sasaivi wanasema Mungu atawalipia. Ukisikia utapeli wa kisiasa ndio huu wa wapinzani wa Tanzania
Wamechanganyikiwa maskini...Penicillin injection inauma sana tuwape pole jamani.
Ushauri wangu wakubaliane na hali na wajipange vizuri..
Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Serikali yetu pamoja na vitu vingine vikubwa inavyofanya nadhani ni wakati sahihi kuangalia katiba na sheria zetu za nchi kuhusiana na demokrasia ya vyama vingi. Hii itasaidia sana kupunguza au kuondoa kabisa matumizi mabaya ya demokrasia yanayoweza kuiingiza nchi kwenye matatizo makubwa sababu ya usaliti kwa maslahi binafsi. Ifike mahala tuwe na uhuru, haki na demokrasia ya kutosha huku tukiweka maslahi ya taifa mbele
Mitaala ya elimu mashuleni pia iangaliwe kwa umakini, kuwe na masomo yanayomjenga mtoto wa kitanzania katika misingi chanya ya historia ya taifa lake, na dhana nzima ya uzalendo kwa nchi yake ili kujenga taifa imara kwa vizazi vijavyo.
Kwakuwa Chadema wamepata zaidi ya 5% ya kura za ubunge, watapata wabunge wa viti maalum ambao wanaweza kufikia 20.Ningefurahi kama wangebaki kama ishirini hivi wawe wanaliamsha na kuchangamsha bunge.
Hatuchagui viongozi ili tuwapelekee na kutatua shida zetu binafsi faragha.Nimefurahi sana aliyekuwa mbunge wa Iringa, Msigwa Peter kuangushwa chini, Alikuwa na dharau sana ukimfata Kumueleza Shida akusaidie kama Mwananchi. Aliutumia ubunge kama Kitega uchumi cha kujinufaisha yeye binafsi.
Jimbo lingine la Ubungo. Alilokuwa analitumikia Kubenea, alilitelekeza mwisho wa siku akalikimbia aliyekuwa meya Boniface Jacob na yeye ilikuwa ukimfata akusaidie kama mwananchi anakukimbia.
Kifupi Wapinzani waligeuza ubunge sehemu ya Kujinufaisha wao binafsi.
Ni wabunge wachache wa upinzani Walikuwa kwa ajiri ya Wananchi.
Heche John , huyu kazi yake ilikuwa ni kupinga tu kila kinachofanywa na serikali.
Mwisho nashukuru Msigwa kupigwa chini, akatulie sasa kwenye Car wash yake aliyowekeza, pia arudi kanisani kwa Waumini aliowatelekeza, Akajifunze sasa na Kauli nzuri.
Kuamsha kwa matusiNingefurahi kama wangebaki kama ishirini hivi wawe wanaliamsha na kuchangamsha bunge.
Ujumbe murua kabisa haya tunayaita maono ya mbali.Naomba Tazama haka ka video. Wakati unatazama chukua na soda moja nakuja kulipa
Kuliamsha na kuchangamsha bunge wakati hatuna maji, masoko, barabara, hospital ni upuuzi ulioje. Huko nje watachangamshwa vizuri.Ningefurahi kama wangebaki kama ishirini hivi wawe wanaliamsha na kuchangamsha bunge.
EllySkyWilly Ebu ifungulie Uzi sambamba na hii video ili manyumbu waone hii kitu.Naomba Tazama haka ka video. Wakati unatazama chukua na soda moja nakuja kulipa
mama D sikiliza hiyo video.Naomba Tazama haka ka video. Wakati unatazama chukua na soda moja nakuja kulipa