Nimefura kwa hasira

Nimefura kwa hasira

Ndio ukubwa huo mkuu mwenyewe ulishajipanga jinsi ya kumkula we dada hongera sana
 
Alitegemea ungemtumia hela ya nauli au ungesema uende ukamchukue, kosa lako kubwa hukufanya ht moja kati ya hayo mawili.
Mm huwez ntoa kwangu kwa nauli yng hlf nije kwako unigegede na mwsho uniambie huna pesa unpe buku ya daladala, ntakumind sn.
Mkuu mi huwa sio mteja wa malipo ya kabla, af wanaume tushakubaliana kutotuma nauli.
 
Jana nakuona vile, Hahahahaa eti ukaanza kupiga mluzi huku ukizungukazunguka ndani hahaha, endelea tu kumsubiri hadi ukome kudandia gari kwa mbele
 
Back
Top Bottom