Nimefunga pingu za maisha na jini

Nimefunga pingu za maisha na jini

Joined
Aug 27, 2014
Posts
43
Reaction score
11
UKWEL HALISI WA MAISHA YANGU
naitwa jey,nimezaliwa mwaka 1990,mkoani iringa,nina umri wa miaka 26,nimeishi kwa shida sana katika maisha yangu yote kwan nilizaliwa peke angu ila usiku nilikua na rafiki mtoto wa kike ambae hakuonekana mchana ila usiku tuu,alikua akinishtua sana hasa wakati akija kunitembelea kimazingara,alikua ni dada mzuri sura kama maraika,alikua akinambia mambo mengi sana hasa kwanin anapenda kushinda na mimi,alichonambia ni kwamba ananipenda sana na anapenda tuishi wote,wapendwa kiukweli siyo kazi rahisi kumkimbia jini akikupenda,kwa umri wa kitoto tulicheza michezo ya kitoto,hali hii ilimsumbua mama kwan alisikia kila siku usiku nacheza na mtoto asiyeonekana,ukubwani ndo kasheshe ilipoanza,yule dada alikua mzuri sana na alikua mzuri maradufu kila siku,jina lake aliitwa najiri,siku zote najiri alinitembelea na kunichukua kuelekea baharini kucheza na kunirudisha asubuh,ilikuwa ni jumapili najiri alinichukua tena kufika kule kwa siku zote kwa mbali kukaonekana kukiwa na uzuri wa ajab,itaende
 
Hivi Shule za Msingi wanaruhusu Wanafunzi kwenda na simu?
 
hata sisomi umezaliwa 1990 alafu miaka 26... mwongo mkubwa alafu haupo kwenye jukwaa husika
 
Itaendelea story au najiri ataendelea kuja? Embu tunga mpaka iishe halafu uanze upya
 
Hadithi nyingine bhanna!Sijui huwa zinatungiwa chooni!!!
 
Aliondokea chanjagaa, kajenga nyumba kakaa, hadithi njoo eheee endelea mkuu ulipoishia
 
1990 miaka 26 duuuuuu inaonyesheaaa ww n muongo tenaa ujui kutungaa stori mwachiee shigongo kazi yake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom