Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Rais wa mchongo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Rais wa mchongo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Too badPole sana mkuu, huku Chugga Kuna bucha jumatatu ya wiki hii ambalo huwa nafanya manunuzi ya [emoji225][emoji226] nimekuta limefungwa mchana na sio kawaida kufungwa na nikauliza kwa majirani nikaambiwa tatizo umeme [emoji35]
Pascal Mayala alikua anasemaga hivi hivi hana chama mara kwa maslahi mapana ya Taifa.Kwa sisi wazoefu wa JF MTU akishatamka hizo statement tu tunajua yuko mrengo gani, acha kuona aibu kuwa wewe ni CCM na CCM imewaangusha. Sio dhambi japo ni aibu
Pascal Mayalla njoo hukuPascal Mayala alikua anasemaga hivi hivi hana chama mara kwa maslahi mapana ya Taifa.
Uchaguzi ilipofika ndio tunajua kua ni kada wa CCM