Nimefumaniwa na mwanachuo

Simu yako imekuwa hacked hiyo hujui. Yaani hadi kapata voice note ya maongezi ya kawaida dah. Unaishi kizembe sana. Hayo ulitakiwa ufanye wewe. 😂 😂 😂 Pole sana umekutana na mjanja zaidi yako. Hiyo picha wala hata hakutoa Instagram. Bali Ali download kutoka kwenye simu yako. Coz ana access ya taarifa zako zote za kwenye simu yako kuanzia sms za kawaii, calls, anaweza kucontrol uongee na nani na usoongee na nani. Anaweza kukuchukua video live bila wewe kujua. 😂 😂 😂 Ogopa technology
 
Dogo soma uko maofisini kuna mikasa zaidi ya hii yako yakitoto kaza uingie kwenye system ndio utajua mapenzi yana run hii dunia sio hizi mambo za chuo mki graduate kila mtu anapita ivi..
 
Sitasahau mtu yule aliyeitiwa mwizi na mwanachuo pale mabibo hosteli. Kipigo alichokipata mtu yule ?
Mwanamke hasomeshwi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…