Nimefuatilia mtindo wa maisha/ lifestyles za Actress wa Nigeria siyaamini haya.

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,471
Wadau wa JF celebrities,

Nimeyafuatilia maisha au lifestyles ya waigizaji wanne wa kike wa Nigeria kweli sikuyaamini mafanikio makubwa walioyonayo kimaisha.

Nimemfuatilia Omotola, Genevieve, Ini na Mercy kupitia You Tube.

Ni mafanikio matupu kuanzia vipato, magari, majumba nk.
Najiuliza ni sanaa ya Maigizo tu au kuna siri nyuma yake?

Wasanii wa kike Bongo wanakwama wapi?
 
Watu wanapambana Nigeria . Bongo wasanii wafollowers wengi ila wakianzisha hata biashara ya chips humuoni hata follower mmoja akija kukuunga biashara yako.
 
Genevieve saivi ana stream Netflix saivi na ni kweli wingi wa wanigeria unawapa hawa watu audience kubwa na soko kubwa pia.
images%20(25).jpeg
 
Umefuatiliaje? Instagram au? Twambie walianza lini hiyo sanaa na wana nini na nini kwa kiasi gani na kwa muda gani ili tuona ufuatiliaji wako uko na mashiko ndani yake na sio kuwalenga wasanii wetu kwa njia mbadala.
Wadau wa JF celebrities,

Nimeyafuatilia maisha au lifestyles ya waigizaji wanne wa kike wa Nigeria kweli sikuyaamini mafanikio makubwa walioyonayo kimaisha.

Nimemfuatilia Omotola, Genevieve, Ini na Mercy kupitia You Tube.

Ni mafanikio matupu kuanzia vipato, magari, majumba nk.
Najiuliza ni sanaa ya Maigizo tu au kuna siri nyuma yake?

Wasanii wa kike Bongo wanakwama wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom