VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Sana Mkuu.Nimepatwa na nguvu mpya.Nakaribia kufuata kadi ya CHADEMA kama chama changu cha kwanza cha siasa maishani mwangu...Hongera, yaani salamu tu umefarijika
Nadhani anashugulikia hati za lile jengo la makao makuu ya CHADEMA alilojitolea Sabodo. Jamaa ana uchungu na nchi ndio maana yuko mstari wa mbele wa mapambano muda wote. Unafikiri hana mialiko ya kwenda kwa wazungu kama JK na Lipumba? Anayo lakini ameweka Tanganyika Kwanza!Hata mimi nilikutananaye pale Wizara ya Ardhi sio leo ilikuwa jumatatu nadhani kuna kitu anafuatilia pale,but nilimuona Dr slaa kadhohofika sana,nadhani ni uzee sasa..kwa kweli anahitaji kupumzika muda mwingi ili awefit kuelekea 2015.
naona Dr Slaa ashakua celebrity yaani kaitikia tu salamu kuna mtu hatalala leo....
Dah,umenikumbusha mbali sana,wishing Dr. Slaa a long life. God bless CDMLeo,majira ya saa tano asubuhi,nilikuwa viunga vya Wizara ya Ardhi.Nilikuwa kwenye harakati zangu za kikazi kushughulikia wateja wangu.Mara,akajitokeza Dr.Willbrod Peter Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Tukawa tunapishana kwenye ngazi:yeye anashuka,mimi napanda. .....
i once meet him severally and he did that, ila kabla Jk HAJAONDOKA KWENDA ethipoa alinipigia simu kuniaga..akaniambia next yr ataniteua kua DC..kweli ni mteule wa MUNGU,,,,,