Nimefanya Kama Trump

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
619
1,000
Ilikua Ni wiki Jana nikiwa nimechili sehemu basi nikiwa deep kwenye kufikiri jinsi gani nachezesha karata zangu za maisha , Akatokea mrembo mmoja huyu Ni mwanamke mzuri Alie fungasha mwenyewe na umbo lake Kama yule video queen wa kwenye wimbo wa nashidwa wa Cristian bela na kitabia Ni mwanamke anae onekana anajiheshimu.

Kifupi huyu Ni mwanamke ambaye mazoea nae hayana hata mwezi.basi akawa amekuja kasimama kwa mbele yangu baada ya salamu tu akadai anaumwa. Nikamuliza unaumwa nini Nikajibiwa nipo bleed . Sijui shetani gani alipita nikasema tuone Kama kweli. Akanisogezea kiuno nami nikagusa na kuminya minya mbususu na kumshika hips zake na kumchapa vibao vya kwenye hips na kumalizia matakoni Kama vile Trump alivyo mchezeaga yule bint na kweli nikakuta pad. Ila ilikua Ni chap maana nilikua eneo la wazi ila limetulia. Basi bana baada ya kumpapasa pale akasema ngoja akapumnzike atanicheki kesho na kunisisitizia kesho.

Siku ile nilijisikia poa na kawaida, ila usiku wa leo nimestuka usingizini Kama kawaida yangu na kuanza kujitathimin kwa kile nilicho kifanya aiseee moyo wangu umeumia Sana na kujutia kile kitendo Hadi kufikia kutoa ushuhuda humu ili roho yangu itulie.

Wanawake tunajua nyie Ni viumbe dhaifu ila tunaomba mpambane kidogo mkaze ili kupunguziana dhambi zisizo na maana .

Wanawake mtatupeleka motoni jmn msijilegeze Sana .

Hapa najiuliza hivi ni Ngono imekua rahisi au Ni Mimi nimepanda rank kwamba naweza cheza na mwanamke yoyote yule .

Mwenyezi Mungu aendelee tu kutusamehe waja wake.

Alfajiri njema.
 
Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
18,906
2,000
Maadam umetubu, andaa sadaka uwahi ibadani.
Na vitabu ubebe vyako sio unyooshe shingo kwa jirani 😜.
 
to yeye

JF-Expert Member
May 30, 2016
4,516
2,000
Japo binti inaonyesha hana sauti mbele ya kiumbe mwanaume lakin at least ungefikiria kwamba unaempembuapembua hapo na kumchapa matako ni binti wa mwanaume mwenzio mkuu.
 
The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
8,617
2,000
"Kitabia anaonekana ni Mwanamke anayejiheshimu"

Hivi Mwanamke anayejiheshimu anaweza kukuachia mwili wake umshike shike tena eneo la wazi na sio chumbani au ndani?

Kwanza kitendo cha wewe kutaka kuhakikisha kua kama nikweli ana bleed kina maanisha kwamba wewe humuamini huyo Mwanamke na uliona kama vile anakuongopea.
 
Varbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,115
2,000
In life there’s time when everything come on your way!
 
miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
619
1,000
Japo binti inaonyesha hana sauti mbele ya kiumbe mwanaume lakin at least ungefikiria kwamba unaempembuapembua hapo na kumchapa matako ni binti wa mwanaume mwenzio mkuu.
Hayo yote ndio nimefikiria baada ya huu Uzi.
 
miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
619
1,000
"Kitabia anaonekana ni Mwanamke anayejiheshimu"

Hivi Mwanamke anayejiheshimu anaweza kukuachia mwili wake umshike shike tena eneo la wazi na sio chumbani au ndani?

Kwanza kitendo cha wewe kutaka kuhakikisha kua kama nikweli ana bleed kina maanisha kwamba wewe humuamini huyo Mwanamke na uliona kama vile anakuongopea.

Yaani kimuonekano yupo hivo ila baada ya kufanya vile ndio nikabakiwa na hayo maswali .

Namuamin vizuri ila nilifanya Kama utani tu nikaletewa
 
Killboy

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
1,198
2,000
Daah!mwenyew hapa nna guilty baada ya kulala na manz mmoja iv usiku wa leo,imefika ngoma kumi na moja mtt ananambia yaan siend kanisan maana kwa hiki kitendo cha leo nitafanya kama nakufuru,moyoo umeniumaa kinoumq,hata kupiga ile morning glory imenishinda ikabid nimwambie aende room kwake cz tumepanga sehem moja
 
Inauma aisee kweli majuto Ni mjukuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom