Nimefanikiwa kumshauri arudiane na Mmewe!

Nimefanikiwa kumshauri arudiane na Mmewe!

Magoya2000

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Posts
641
Reaction score
1,267
Habari wadau! Napenda kumshukuru Mungu Kwa kunifanikisha kuwa mpatanishi. Ilikuwa hivi, kuna mwanamke nilikutana alikuwa desperate baada ya kuachana na mumewe takribani miaka 4, kipindi nakutana nae nami nilikuwa na stress zangu za kutengana na wife hivyo tukayajenga na kudate pamoja tukifalijiana. It was so amazing maana kila mtu alitendwa hivyo mapenzi yakawa motomoto. Niliona as if ndo chagua langu la maisha lkn nafsi ikawa inanisuta ijapokuwa love is blind. Tuliendelea relationship mpk akadai anataka kuzaa na mimi. Sikukubali tuzae maana sina future nae maana ni mke wa mtu na bado hawajatalikiana. Neema ya Mungu akaniingia na kumpa spiritual advice kwamba anatakiwa kujishusha na kunyenyekea na kuomba msamaha kwa mumewe. Kitu nilichogundua alikuwa na kiburi sana hataki kujishusha hivyo ikabidi tuamshauri kuhudhuria makongamano ya Dini ili yamjenge spiritual. Nashukuru Mungu ametenda now wapo pamoja na mumewe. Now she just a friend! Note: Nyumba ikikosa mwanaume haiheshimiki hata waharifu wa kijinsia rahisi kuingia. Ni story ndefu maana hata watoto walipata maswahibu mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IGWE, kwani wanawake wote unaokutana nao unajua wamekutana na wangapi? Je wewe umekutana na wangapi? Haina makombo hiyo!!
Nikitalikiana na mwanamke na tukakaa zaidi ya miezi 10 bila kurudiana huo ndio mwisho wa ndoa ....huu ni msimamo wangu mimi kama Igwe
....yaani umemchapa huyo demu wa jamaa umemchoka ndio ukaamua kumsukumia zigo lake ahangaike nalo naye kalipokea zigo kirahisi....pathetic

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh after kumbunyua ndo ukamshauri 😁😁
Kwel
 
Back
Top Bottom