Mimi siwajui wanawake lakini akimwambia hivyo, mwanamke atamwambia "kama unataka kuwa na familia yako sawa, hata Mimi nina familia yangu" hicho siyo kigezo cha kuniacha" 😎Mwambie unafikiria kuwa na familia yako ukizingatia yeye ni mke wa mtu na huwezi kumuoa alafu msikilize atasemaje
alishasema hawezi niruhusu niwe na mahusiano mengine yeyote yale, naishi nae mbali lakini anavyobana mkuu yaani hatari tupu, nipo njia pandaMwambie unafikiria kuwa na familia yako ukizingatia yeye ni mke wa mtu na huwezi kumuoa alafu msikilize atasemaje
hahaha huyu hataki kabisa hata kuwa tu marafiki wakike hataki kabisa, sometimes kazini unipereka mwenyewe na usafiri wake kuja tu kufanya udadisi kama nina mtu mwengine kwa ofisi ya huyu ni balaa mkuuMimi siwajui wanawake lakini akimwambia hivyo, mwanamke atamwambia "kama unataka kuwa na familia yako sawa, hata Mimi nina familia yangu" hicho siyo kigezo cha kuniacha" [emoji41]
Kwahyo utazaa na mke wa mtu?alishasema hawezi niruhusu niwe na mahusiano mengine yeyote yale, naishi nae mbali lakini anavyobana mkuu yaani hatari tupu, nipo njia panda