Nimedumu na mwanamke miaka 3 kwenye mahusiano bila kuona sura yake live hata siku moja katika maisha yangu

Mapenz ni kitu cha ajabu sana unaweza ukampenda mtu na usimjue alivyo. Ngoja niwape story wanangu kitu kilichonikuta me katika muhusiano na uyo bint.

Nimempenda dem kupitia njia ya simu kuwasilian tu mala whatsap vdeo call kutumian mapicha basi nikajikuta naingia katika mahusiano nae ndan ya miaka 3 tangu 2020-2022 mwaka huu ulivyoanza tu nimeachana uyo dem km wik 1 nyuma.

Kiukwel tulipendan sana me na uyo dem mamb meng sana tumeyapanga katka maisha yetu alkuwa ana mtu wakumpa sapport ktk upande wake zaid ya kwangu mm so ikapelekea me nijbebesh kla shida ya uyo dem nifanye iwe yangu kila anachokitak km kpo ndan ya uwezo wangu bas me nampa.

Ikafka stage dem akawa asikilizi familia yak zaid kunsikilza manen yangu me kila nnachomwambia kla anachoambiwa na familia yak alikuw n m2 mwenye kuvipotezea.sasa uyu dem alkuwa na tatzo moja tatzo hlo likanshangaza adi me alkuwa na shetan (jini) ktk mwil wake uyo jini alkuwa n wakiume, pia uyo alzaa na uyo dem watot wawil swal la kujiulza me nlijuaj km uyo dem ana jin ktk mwil wake.

Ilkuwa hvy unajua si wanaume tunahisia mzto sana ktk kumbembeleza mwanamke unawez ukaish na dem bas ukawa una pesa,una nyumba,una gar,pia una kaz maalum lakn mtoto akakuelewa vzur 2 bc hvyo ndo nilivyokuwa me adi mtoto akanielewa.

Wakat ninapokuwa naongea uyo dem huku nikimbembeleza kwa maneno matam basi uyo jini alkuwa ni kiumbe mwenye wivu sana nikichukua muda mwing galfa kaja yeye kchwan na kuanza kunisonya mala anan2kana me hyo hal nikaishaangaa na kunyima aman kwanza dem npo nae mbal yeye yup mkoa mwngn na me npo mkoa mwngn na ata cku 1 cjawai kumuona ktk maisha yang na kla nnapongea nae hii jin wak lazma aje ndan ya maika yot 3 hal ilkuw n hyo 2.

Sikuwai kumueleza m2 juu ya hil tatzo ata kwa familia yangu bali mungu pekeee ndo aliekuwa anajua nikawa najiulza maswal meng nmempenda jin lakn nikasema hapan si jin bal ni bnadam km me.

Nkaja nkapata wazo nakamwambia natak niwajuan ndugu zak akukataa akuonesha kipingamiz akanpa namba ya dada ake nikawasilia nae nikajtambulisha me ni nan npo vp na ndug yake akanjua mana alkuwa tayar alshaeleza kuhus me unajua uyu dem altak me nikamuoe kutokana na mazingira anayoish si mazur kabis ila me nlmwambia sijapangia kuoa mapema.

Mbaya zaid ndan ya mwaka huu ulivyoanza mwaka ulianza vbaya ktk mapenz yetu tumeingia ktk huu mwak tukiwa tunaugomv me na yeye pili wazaz wake wanatak aolewe hla so na me wamemchagulia m2 wakumuoa dem akawaambia wazaz wak me uyu ndo atakaenioa c uyo m2 wenu mlionchagulia
hyo ikapelekea wazaz wak kuntafut na kuntxhia maixha wanatak niachan na bint yao la cvyo ntakuja kufanyiwa k2 kbaya ambacho cto kisahau katka maisha yangu (wataniloga) wakasema km kwenu kupo vzur bas jpangea daaaah apo kichwa kunhuma hatar.

kwnz nkafklia mtot wa wa2 namuwek matatan akfosiw kuolew anawez akafanya v2 vyatofaut mana alnambia nkiachan na we bc me ctopend tena na ctoolewa na m2 mwngn yeyot zaid yak we na km nkfosiwa kuolewa bas ntakachokuja kukfanya bas mungu ansamehe me nkamulza unatak kujhuwa akajbu sijui uend ikawa n hvyo au isiwe n hvyoo nkapgiwa simu kwa cku ya pili na wazaz wak wakiulza kijana upo vzur hii mala ya pil tunakuhulza nkawa kmya sikujbu k2.

Nikakta simu then nkazma cm cku mzma nkalal usiku nkaamka na jbu 1 tu 2 kaul ya kiume kat ya pesa na mapenzi bola nn nkapata jbu 1 pesa bola nkasema tena niacha mwanamke ati kisa nmetishiwa maisha nkasema frexh najpenda me na bado mdogo natafut pesa kwa nguv zang uyu dem c bos wang wala ajui kwa mwez napokea kias gan na wala ajui ugum wa kaz yangu ipo vp nkasema kw hasila NAKUACHA WE BINT km mala 3 iv basi sikuchelewa nkaend kwa wakal nkatia salio la buku mitandao yot dakk 130 nkapga cm 4 kw p1 kuanzi wazaz wa uyo bint,

Bint mwnyw kaka yak nkasema k2 k1 KUANZIA LEO UYU BINT SI MWANAMKE WANGU NAMUACHA NYIE MKIWA KM MASHAIDI KATIKA HILI TUKIO ksha nkamalza ivi lolote ltakalotokea me cpo na wala msinixhlkishe kwa lolote kuanzia hvy sasa na nkamuambia uyo bint usisubu2 kunpgia me tena coz si m2 wangu kuanzia ivy sasa nkakat sm dem akapga yeye aku akiwa analia na akisema umefanya kwel au umetania nkamjbu hyo n true kabxa.

Akaulza tena tulpnga nn ktk maish yetu nkajbu vng 2 nksema kla k2 knatokea kwa sababu nkamuambia anza maisha mapya ya kutokua na me hla naomba nsamehe kw kla klichotokea coz si kosa langu nmefosiw kufany hvyo ili kunusulu maixha yangu dem akalia sanaaaa uku aksema neno lake la mwsho kunambia ASANTE SANA. Everything happen for a reasons but a sametme a reasons is that you stupid and you make bad decision.
Uwe unaandika kiswahili fasaha.Acha kukatakata maneno.Demu ndiyo kitu gani?Aya nzima ina sentensi moja?Jirekebishe!
 
MKUU SIJUI KAMA ULIKUWA HAUPO KWENYE NA MWANAUME MWENZAKO ...alisema jamaa mmoja sio me
20230119_105801.jpg
 
Sijamaliza kusoma, ila huko si kuishi pamoja. Ni long distance relationship na bado hamjaonana. Atakayemaliza kusoma hadi mwisho atusaidie...
Mi nilianza kusoma alipofika mara demu kazaa watoto na jini mara nikiongea nae jini anakuja. Kumbe kwenye simu hapo ndipo nikajiona zwazwa kwa kupoteza muda wangu kuisoma. Hivyo kama atatokea zwazwa atakaemaliza atujuze tafadhali.
 
Nimesoma mpk mwisho lakini sijaelewa kitu aliyeelewa tafadhali atupe kinaga ubaga
 
Uhh mzee pole sana sana ila mimi binafsi izo scenario zimenitokea sana sanaaa yani mpaka kesho nitabaki kuamini mitandaoni napo majini yapo,
Scenario ya kwanza
Nilijuwana na demu fb tulichati sana tukahamia whatsapp tikachat sana, sijawah mtumia senti mbili yangu, na hajawahi niomba ila alinikopa na akarejesha
Mapenz moto moto full kunyegeshana ILA 3yrs down yule demu sijawah sikia sauti yake,hapokei regular calls hata upige kwa namba mpya, hapokei video call, hatumi voice note(ila anasikiliza), ananitumia picha zake na video zake sawa ni yeye miaka yote,

Amebadili namba zaidi ya mara 10 na mara zote hajawai poteza namba yangu,ataanza nitafuta yeye (nilipoteza simu na nmba zote nikasajili mpya ila sikumbuki alinipataje ),

Ana asili ya kiarabu ivi kila nikisema tuonane anadai nitamuona tu ,

Ya pili, girl mwingine fb pia tulijuwana nae huu mwaka wa tatu pia ila huyu nahisi ni mtu wa kawaida ,alikuwa interested na mimi, naweza mpotezea mwezi simtafuti ila nikamchke tunaendelea tulipoishia(ntamfungia safari)

Ya tatu huyu nae tulijuwana
Mwaka wa tatu pia tukapendana tukashea mengi akaja tukaoana (sikumla) tukaachana akaumia sana tukarudiana tena hadi kesho

Ya nne huyu tulijuwana pia mtandaoni, tukapendana sana tu nikaachana nae mwaka mzima simtafuti nikaja nikamrudia tukaendelea hadi kesho moto moto

Ya tano mtandaoni pia huyu hatujawah onana ila mapenz moto moto soon tutaonana

Ya sita huyu nae kanishanganza sijui ni jini,
Tulijuwana gafla tu ye ndo alinitafuta tulichati sanaa yani ndani ya mwezi kiasi kwamba kama tulijuana miaka na miaka, huyu nae alinishangaza kimoja, hapokei calls, hakutaka kunipa namba kabisa, siku moja tukazungunzia maswala ya mwamposa, akanipinga sana kwamba nisiende uko, baadae nakuta kaniblock, ile account niliitafuta sana kwa fb kwa kupitia acc zingine sijaiona hadi kesho

Hawa watu wa mitandaoni kama unaingia wasiwasi basi usimfuate alipo ,usimtumie pesa ovyo,

Ii ingine nibya live kabisa, nilikutana na demu kitambaa cheupe yule manzi alinielewa mimi cha ajabu , nikachukuwa namba yule demu tulionana siku ya pili yake nikaenda adi anapodai ni kwake anakaa na rafiki yake, nami nikampeleka mageto ,ktk mitombano haukatak kabisa nimwage ndani, tulilala ajabu ile pisi sikujuwa iliondokaje maana mlango ulikuwa umefungwa kwa ndani, na aliondoka akaacha cheni ,

Mule ndani kulikuwa na ganja nahisi ile ilikuwa jini maana nilienda aliponipeleka naulizia naambiwa hakuna mtu ka huyo,
 
Ndugu vitu kama hivyo vipo sana na watu awaelew coz avyijawai kuwatokea unajua kuna watu humu maisha yao ni mseleleko anacoment kitu ambacho akijui nini kilichomaanishwa so mkuu madem wengin so pouw yani so kila mdada wakuishi nao wengine ni wapita njia tu katika maisha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom