Je inawezekana hii software nikaweka kwenye simu tatu. Yaani yangu na zingine mbili alafu yangu ndo iwe inatrace wengine?
Du mlokole kuliwa Tigo si atakufwa huyo?*****TUMALIZIE****
Kwa wale tomaso wanaodhani hii ni story hapana ni habari ya kweli kwani niliwah kutoa ujanja humu wa kumnasa kipenzi chako kupitia kwenye simu...
na niliahidi kuleta mrejesho na huu ndo ukweli wa kile kilichojiri....
ukiamini sawa usipoamini sawa pia hulazimishwi cha msingi ona matukio makubwa tuliopitia binadamu wenzako hasa mm kijana mwenye umri mdogo wa miaka 27 kupitia pitio kama hili..
je nitaenjoy maisha yangu kweli
je iweje mtu mzima achukue mke wangu ambae ni sawa na binti yake
je aliniona mm ndo wa kuonea na kudhauliwa hadi kunisexia mke wangu..
je je je je hizi ndo zinanimaliza mm
******************************
basi baada ya wale jamaa kutoka nje nikafunga mlango wakarudi..
wakahoji kama ni mambo ya kuelewana iweje ufunge mlango? kama ndo hivi wakata kurudi..
ok nikiwaambia watoke sitafunga wakatoka..
nikamwambia jamaa nakupa dk moja uniue otherwise nikue
solution ya kuokoa maisha yangu na ww kuebdelea kuishi naomba nikifir* moyo wangu utakuwa umekusameha kabisa na nitalidhika..
akawa kama anataka kubisha nikamwambia nitakuua kaka...
basi lijamaa likajubali kwa shingo upande nikaamka nikamsogelea nikamwambia shusha nguo
ile naanza kufungua mkanda akatoka baruti akakimbia tena
****************************
ilikuwa kama saa 2 usiku sijanywa wala kula chochote
nikaamua kurudi nyunbani.na kuendelea kumuwinda jamaa alikata wiki 3 tusijue alipo..
****END******
Nilitumia wiki tatu kumtafuta jamaa bila mafanikio yan hata kazini haendi ..
tulipofika nyumbani mke wangu akala viapo vyoooote hadi vya biblia kwamba hatakaa arudie na kwamba ndo ilikuwa first time na ni pepo tu....
nikiamua kumkubalia yapite kwan alidai bila msamaha yeye atajiua.
ok tunaishi ila moyo wangu umepoa sana,
akifanya kosa dogo tu natamani kumpiga tu
kweli nilimpenda sana ila kwa sasa sihisi ule upendo wa awali.....
kwa watu wazima wa humu mliowah kupitia hali kama hii mlifanyaje?
mnisaidie kijana wenu
je huyu jamaa bado nahisi kumtafuta aniue au nimue
je nitafanyaje japo ni jirani yangu na nasikia wanahama hapa..
je ipo wakat utafika nitasahau kweli?
msaada wenu great thinkers
nipo mbele yenu...
*********************
tuepukane kuona kila kitu ni story asanteni sana.
wana saikolojia pl plz nawaombeni hasa pm
kwan simwamin mtu tena mke au mme
ninatongoza wake za watu japo sipendi
nakonda siku hadi siku
utendaji wa kazi umeshuka sana..
****************
ASANTENI
MKE AU MME WAKO SIMU YAKE INA SIRI NZITO
aisee pole sana kaka
i do believe its true story
kwani wadada wasiku hz tuna tamaa na kila mtu ana namna ya kurespond matukio km hayo
asikwambie mtu kuchapiwa kunauma sana hao wanaokukebehi ngoja yawakute
mi ushauri wangu ni huu:
muache tu kwa kweli maana hofu yangu usijemfanyia jambo baya km unavyosema akikosea watamani kumpiga
jipe likizo ya kutafakari mema yake na mabaya yake
km hujamuoa usimuoe tena
ushauri kwa wadada:
km unahisi huwezi kumiliki m/me mmoja usijiingize kwenye serious relationship utajiumiza bure!
we endelea kumiliki makoloni hata kumi unapga madanga yako bas!!
Ok pole. Hayo ni maisha usiogope.
Ila ujue una vita hapo mtaani.
Wewe na familia ya mgoni wako hamtatazamana vizuri.
Kumbuka ana watoto na majirani pia wapo. Na wote watalaani umalaya wa mkeo.
Ushauri kama utataka. Nyumba kama umejenga au umepanga hama. Hama na huyo mkeo.
Acha nduguzo au weka wapangaji. Yaani hapo hapakufai tena. Watakuja kukuuwa.
Msikivu Tz nakushauri ufuate ushauri huo hapo juu ila:
- Nakupa pongezi kwa kujieleza kwa ni hata kama identity haijulikanai yataka moyo. Nakupongezakwa hatua ulizochukua na naamini kwa ajili hasa ya mtoto.
- Usidhani nipeke yako wengi yamewakumba nadhani unasoma na unasikia, inauma sana pole. Jipe moyo.
- Je kuna mtu mzima unayemuamini ambaye unawezakulia kwenye shoulder yake na kumueleza yaliyokusibu. Watu wazima wanaexperiencenyiingi sana na wanajua kuzihandle wanaweza kukushauri ili uweze kusahau.Inauma lakini sahau na uendelee na maisha. Tena mi nadhani ni vema kwa sasa mkombalimbali hata hivyo fanya hima umtafutie mkeo ili baadae ahamie DSM. You areso young to live apart ( japo muhusika alikuwa jirani) lakini bora mke awe karibukuondoa mjaribu mengine.
- Maisha yana majaribu mengi , wengi yamewakutamengi, Sali na umuombe Mungu akuondolee machungu kwani matatizo ya kifamiliayasije haribu upande wa kazi na mahusiano na wengine.
- Nyumba mnayoishi ni yenu au mmepanga, kamammepanga na ukaona ulazima unaweza kuhama. Nina mifano mingi, ninamfahamu babammoja alikuwa ulaya mkew wake akazaa na mzungu( si kwa kuwa ni mzungu ni dhambizaidi la hasha lakini mtoto wa kihalf caste inakuwa si siri ya ndani tena). Mmewake alimsamehe na wakapata watoto wengine, achilia mbali wengine naowafahamu.( si kwamba nasupport) lakini walisameheana na maisha yakaendelea na babaalimlea Yule mtoto wa kizungu kwa kutumia ubin wake ( baba). Cha muhimu naaminimke wako amepata fundisho kubwa.
- Mwisho: Uamuzi wa mwisho ni wako pokea ushauri ila usikilize moyo unakuambiaje. Kuna wengine wanaweza wakasema ningekuwamimi ningemwacha, yakiwakumba wanaamua vinginevyo. Maamuzi yote unayo wewe.Pole sana, Mungu atakusimamia na utasahau.
hivi unaanzaje kugongewa mwanamke... tena na mlokole!!! kaka you have a long way to go, ka walokole wanafumua hiyo papuchi tukija akina sisi tutakula hadi jicho
mkuu sina imani na mtu sasa hivib yani nimeathilika kisaikolojia kwan nami nimekuwa sasa wa kutongoza na kudate wake za watu kama kulipiza kisasi....kama kuna mwanasaikolojia humu anisaidie maana nilikuwa namheshim mke wa mtu kama ukoma ila sasa ndo hivi tena.....usione mtu kutembea na wake za watu kumbe nyuma yake kuna mengi yanasababisha
Hizo settings na notifications ni zipi ?
****END******
Nilitumia wiki tatu kumtafuta jamaa bila mafanikio yan hata kazini haendi ..
tulipofika nyumbani mke wangu akala viapo vyoooote hadi vya biblia kwamba hatakaa arudie na kwamba ndo ilikuwa first time na ni pepo tu....
nikiamua kumkubalia yapite kwan alidai bila msamaha yeye atajiua.
ok tunaishi ila moyo wangu umepoa sana,
akifanya kosa dogo tu natamani kumpiga tu
kweli nilimpenda sana ila kwa sasa sihisi ule upendo wa awali.....
kwa watu wazima wa humu mliowah kupitia hali kama hii mlifanyaje?
mnisaidie kijana wenu
je huyu jamaa bado nahisi kumtafuta aniue au nimue
je nitafanyaje japo ni jirani yangu na nasikia wanahama hapa..
je ipo wakat utafika nitasahau kweli?
msaada wenu great thinkers
nipo mbele yenu...
*********************
tuepukane kuona kila kitu ni story asanteni sana.
wana saikolojia pl plz nawaombeni hasa pm
kwan simwamin mtu tena mke au mme
ninatongoza wake za watu japo sipendi
nakonda siku hadi siku
utendaji wa kazi umeshuka sana..
****************
ASANTENI
MKE AU MME WAKO SIMU YAKE INA SIRI NZITO
Na wewe umenyuti tu unaendelea kucheki manotifikesheni....
vp kk hujaamka bado kucheki notification maaana umenifanya nicheke badala ya kuwa na huruma