Cybercurex
Member
- Jan 19, 2023
- 98
- 238
Mambo vipi wadau
Leo tena nimekuja na design nyingine ya simple ecommerce app kwa kutumia flutter,App hii ni ya mfano tu, haina backend halisi , hivyo data zote ni dummy. Lengo langu ni kuonyesha uwezo wa Flutter katika kutengeneza apps zinazovutia kwenye UI/UX.
Features za App hii:
Home Screen: Inaonyesha listi ya bidhaa zote na unaweza kuchagua bidhaa unazopenda.
Wishlist Screen: Hapa unaweza kuona bidhaa ulizozipenda.
Cart Screen: Hapa bidhaa unazozikusanya kutoka home screen zinakusanywa kabla ya checkout.
Checkout Screen: Sehemu ya kufanya malipo kwa ajili ya bidhaa ulizozichagua
Pull to Refresh: Unaweza refresh data kwenye screens.
State management iliyotumika ni GetX
Disclaimer:
Picha na assets zote zilizotumika nimedownload mtandaoni kwa madhumuni ya showcase na practice tu, hazina leseni ya kibiashara.
App hii si ya biashara, siyo ya kuuza au kupata faida. Hata hivyo, kama utapenda, unaweza kutengenezewa version mpya kabisa kulingana na mahitaji yako, lakini itakuwa imebaki professional na inafaa kwa madhumuni ya elimu au showcase.
Ningependa kusikia maoni yenu, karibuni