Majirani zangu kitu na mkewe nahisi ni wanga yani kila ikifika usiku mwingi utasikia wanaongea , huwa anaanza mwanamke akimwambia mumewe ikisimama panda ...napata wasiwasi huwa ni nini hicho wanachokipanda na wanaendaga wapi
Baada ua hapo huwa zinafuatia sauti za mbao zikilalamika kama zimebeba kitu kizito na kinanesanesa nahisi hiki ndio chombo chao wanachosafiria
mwishoni huwa namsikia mwanaume akisema nipokee nakuja... hapa ndio napata picha kabisa yani huko waendako mbeba mizigo ni mwanaume
Leo lazima nikawachungulie ili nipate ukweli