Pambana na hali yakoNilikuwa katika pilika zangu za kutafuta mkate,bahati nzuri nilikutana na wadada wawili wamejaaliwa kwa uzuri wa umbo na sura.
Msukuma guta nikajitosa kuelezea yaliyomoyoni kwa mmoja wa wale warembo.Kwa kweli niliambulia kutazamwa toka miguuni,tumboni,kifuani mpaka utosini mwishowe akaniambia nimemchelewesha safari yake na ndipo aliubenjua mdomo wake akazikunja lips zake na kuachia mlio wa msonyo wa dharau.
Ewe binti uliyeninyanyapaa leo ipo siku tutaonana tu,labda kwa vile nilikuwa mchafu.
usisahau kutupa updateNilikuwa katika pilika zangu za kutafuta mkate,bahati nzuri nilikutana na wadada wawili wamejaaliwa kwa uzuri wa umbo na sura.
Msukuma guta nikajitosa kuelezea yaliyomoyoni kwa mmoja wa wale warembo.Kwa kweli niliambulia kutazamwa toka miguuni,tumboni,kifuani mpaka utosini mwishowe akaniambia nimemchelewesha safari yake na ndipo aliubenjua mdomo wake akazikunja lips zake na kuachia mlio wa msonyo wa dharau.
Ewe binti uliyeninyanyapaa leo ipo siku tutaonana tu,labda kwa vile nilikuwa mchafu.
Complain za nini sasa kukataliwa ni haki ya mwanamke /au mwanaume ktk suala la relationship piga moyo konde sio kila unachokitamani kinakufaa sana!!!Nilikuwa katika pilika zangu za kutafuta mkate,bahati nzuri nilikutana na wadada wawili wamejaaliwa kwa uzuri wa umbo na sura.