Najaribu nashindwa akili yangu yote iko kwa mchepuko. Niliamua kubadili namba ya simu na kukata mawasiliano nae, nikajikuta nimeenda kwake, nikamkosa na nikaacha namba yangu mpya ya simu. Yangu jana nimepokea mshahara, nikajikuta nimemtumia wote kwa m pesa
Sasa jichanganye tu uuweke ndani utakuja kutuhadithia..... Utauona kama mlenda vile.. Hizo mbwembwe tu za nje ya uwanja ukimuoa vyote anasahau.....
Baki njia kuu... Muwezeshe mkeo akudatishe wewe.... Alaaaa
Mchepuko umeiteka akili kazi kwamba simpendi tena Mke wangu.
Kwa kweli najaribu kuirudisha akili yangu mahala pake lakini kunakuwa Kama kuna nguvu isiyo ya kawaida ikinishikilia. Naombeni msaada wenu
Unamaanisha Komogo nae kakimbia familia?
nifanyeje sasa niuache huu mchepuko? maana sasa umeshanipiga marufuku kuvaa Pete yangu ya ndoa
Bado kidogo atakwambia usiende kuona watoto home wala kuwaachia hela ya kulanifanyeje sasa niuache huu mchepuko? maana sasa umeshanipiga marufuku kuvaa Pete yangu ya ndoa
mapenz mmeyageuza SIMU unaweza ukasave namba nying nying
nifanyeje sasa niuache huu mchepuko? maana sasa umeshanipiga marufuku kuvaa Pete yangu ya ndoa
Bado kidogo atakwambia usiende kuona watoto home wala kuwaachia hela ya kula
Msaada gani sasa unahitaji?ngoja nawe utmbewe mkeo ndo akili itarudi....
Hawa ndo wa kuhamisha meza sasa. Yule dogo ulimwonea tu.
Mchepuko umeiteka akili kazi kwamba simpendi tena Mke wangu.
Kwa kweli najaribu kuirudisha akili yangu mahala pake lakini kunakuwa Kama kuna nguvu isiyo ya kawaida ikinishikilia. Naombeni msaada wenu