Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Hayatuhusu. Haya ni mambo yenu binafsi wewe na huyo mumeo. JF sio mahala pa kuleta mambo yenu!! Peleka kwa wakwe. Ukiona anaendelea, mtose, tafuta bwana mwingine!!
Reyna..Dalili ya mvua ni mawingu!!Hapo kuna uwezekano wa mambo mawili aidha huyo mumeo anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa au ni mkweli..Ingelikuwa ni mimi binafsi nisingemuamini BURE tu...Ingembidi lazima ani´convince kwa umakini zaidi kuhusu mahusiano yake na hao wanawake...Hata nisingekubali kirahisirahisi tu kwamba hao wanawake ni marafiki,kwani hajui kwamba watu wakishakuwa kwenye ndoa lazima wawekeane mipaka kuhusiana na urafiki wa jinsia tofauti...Hapa kuna ulakini..Mchunguze kwa umakini mumeo nina imani hayupo mkweli kwako...
Habari zenu: Tangu niolewe huu ni mwaka wa tatu lakini kuna kitu kinanitatiza huyu mwanaume mara nyingi huwa anapigiwa simu na namba mpya tofauti tofauti nikijaribu kuzipiga wanapokea wadada ukimuuliza anakwambia alikosea namba je hiyo namba yake huwa inakosewa na wadada tuu? Kingine wadada wa ofisini kwao kila siku usiku wanamtakia usiku mwema mara awaalike kwenye mitoko huwa tunaenda nae lakini nahisi huwa wananisanifu kwa nini awe na urafiki na wadada tuu?
^^
Simu zetu ni kisu kinachoweza kukuua wakati wowote.
Kama huna kifua cha uvumilivu,usikichezee utakufa kwa presha.
^^
nimeshamchoka niko mguu nje mguu ndani
Ukiishi kwa kuchunguza simu ya mumeo, hiyo ndoa itakushinda muda si mrefu.
Fanya kile ambacho nafsi yako inaridhia ndugu yangu!Je bado unampenda mumeo?nimeshamchoka niko mguu nje mguu ndani
Hayatuhusu. Haya ni mambo yenu binafsi wewe na huyo mumeo. JF sio mahala pa kuleta mambo yenu!! Peleka kwa wakwe. Ukiona anaendelea, mtose, tafuta bwana mwingine!!
Wewe kila siku mtu akipost jukwaa hili HAYATUHUSU!! WEWE ni MSEMAJI WETU? Domo kama c.h.o.o! Kama hutaki tambaa!! Acha watu wenye issues zao washare na wanajamvi!