Seven years of marriage unataka uvunje ndoa kisa simu
Hebu nenda kapate juice ya passion mahali utulize kichwa uje hapa utueleze linalokusumbua na sio hili
Ahhh hizi ndoa hizi
Hivi wakati hakuna simu babu zetu walipokuwa wanasafiri walikuwa wanawasiliana vipi na bibi zetu kuwajulisha kuwa wako salama
Dah..hapa kapatikaba npigia ile anapokea tuu.kaanza kuna kitu kinanchanganya h hivi ile laptop uliyonitumia uliweka kebo ya umeme mbona kama siioni..cjamjibu nkakata cm kapiga sipokei nahisi me nakuwa mtumwa ukizingatia midume kibao yanimendea hyu namheshimu lakn ataka kunipa presha dah
Sijatumia mbege hapa nipo ofisini.alafu wew unarahisisha tuu.ungekuwa ni wew ungejifil vibaya sifikirii starehe.kwa hiyo mume kuamka nakumpigia simu mkew kujua kaamkaje ni starehe?Hivi vijimwanamke mayai ni vya shida kweli kweli . Wewe miaka saba umeishi na mme wako hujakubali mapungufu yake, kwani unakotaka kwenda kwa huyo anayekudanganya unamfahamu , balaa kabisa hawa wanawake wa sasa hivi, ni mboga kabisa yani hawafikiri kabisa hata kidogo wanawaza starehe tu kila wakati , kwao kupewa taraka wanaona ndiyo suluhisho la matatizo, kalale kama masaa mawili ili mbege iishe kichwani naona inakupeleka pabaya
Dah..hapa kapatikaba npigia ile anapokea tuu.kaanza kuna kitu kinanchanganya h hivi ile laptop uliyonitumia uliweka kebo ya umeme mbona kama siioni..cjamjibu nkakata cm kapiga sipokei nahisi me nakuwa mtumwa ukizingatia midume kibao yanimendea hyu namheshimu lakn ataka kunipa presha dah
pole sana mtoa mada inaelekea hili suala linakuumiza sana ,kwanza upo mkoa gani ili hata nikutafute
unahitaji kanseling ya hali ya juu,ndo iliyokomaa kama hiyo inahitaji kuboreshwa tu na sio kuwa na mawazo hasi kiasi hicho[/
QUOTE]
Mie nipo dom mpendwa