mwanaume asie na hela ahukumiwe, anyongwe.....over!!!!!
anayefadhili kikao ni wewe, sio? tukutane saa za majeruhi basi
anayefadhili kikao ni wewe, sio? tukutane saa za majeruhi basi
Source Natalia??? Maana huyu alishasema wanamme ambao si wazungu wapigwe mkorogo
hahaha mapyaaaa shosti
Kashangae airport,vyuma vinaruka bata na mbawa zake anatembea.
haya ndo matatizo ya kuoa wanawake wa mjini,ngoja niende zangu kilimatinde nikarudiane na Mamndenyi wangu,umaskini wangu kauzoea.
we nae na Vin Diesel,kha!Bishanga ndoa za town ni shida, Vin Diesel alinituma shamba siku mbili kabla ya white party kwa makubaliano eti atanifuata siku ya tukio, matokeo yake kaopoa huko huko na kunirushia talaka kwa sms.
kama vipi njoo huku shamba tule mema ya nchi.
Mnatongozana in front of my eyes,kha!