nimechoka na hii ndoa!

Kaka, hii avatar umebadili bila approval ya ukoo. Na wewe ndo chief mtarajiwa. Usije ukavuruga himaya yetu!
bepari la kihaya upo??????? unahitaji kuwa shemeji yangu eeee?? vipi bado unafanya kazi ya kuhudumia wagonjwa alioshindwa na madaktari bingwa?
 
uwii nilipotea kidogo hapa kutokana na majukumu lakini nimerudi wakati murua bidada njoo pande hizi asikuzingue huyo kashapata mwingine anakutafitia visa
 
nipo nipo dada yangu kipenzi naona nakaribia kupata mahli ya shamba la bitoke sijui kama nitaweza kweli maana huku kwetu ng'ombe si ndo mpango mzima...? Arabela

yeah ng'ombe ndo issue. Ila usijali shem wako ni yuleyule
 
Last edited by a moderator:
Arabela............................?

cc Filipo
 
Last edited by a moderator:
Kaka, hii avatar umebadili bila approval ya ukoo. Na wewe ndo chief mtarajiwa. Usije ukavuruga himaya yetu!
king'ast dada yangu leo nilitaka kuitisha kikao tuzungumzie hizi avatar yangu na yako,pia tusemezane kuhusu nia ya Bishanga kutaka kuwa mwili mmoja na dada yetu Arabela
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…