nimechoka na hii ndoa!

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,140
Mi basi bana The secretary katafute bwana mwingine akuoe.Wivu gani huo mpaka unatoa povu utadhania umemeza omo.Mchango nilitoa,shati jeupe la linen mariedo nikanunua.Wakati najiandaa kutoka ukaanza oh Madame B bibi yako sitaki uende kebby's,mara ukanivuta na kunichania shati.Mi siwezi bana bora tuachane gfsonwin kunradhi pamoja na mwaliko nilishindwa kuja shauri ya haka kamwanamke,ukiweza niunganishe na Paloma,@lara1 amu au Arabela.
 
Last edited by a moderator:

Shemeji, mwambie akuache upumue.
Me nitakupa Mke mzuri kama Malaika.
Nae ni Shosti wangu wa Ukwee Arabela.
Mtoto nywele mpaka mgongoni.
Mtoto Kama Muhindi,mtoto kila idara kakamilika.

Ila ukitaka mwenye dimpozi na aliekamili kila idara lara 1 atakufaa.

POWER TO U SHEM!!!
CC: Baba V, ana taarifa?
 
Last edited by a moderator:

hahaha shosti wa ukweee naskia Bishanga amefulia ni kweli?
 
Last edited by a moderator:

Bishanga utatuweza?
 
Last edited by a moderator:

Pole sana Bishanga! Kuhusu Arabela utasubiri sana maana tuna mipango ya muda mrefu tunayoitekeleza mimi na yeye!
 
Last edited by a moderator:

Baba V mzushi,achana nae,we ntafutie tu contact za Arabela.
Copy😡filipo
 
Last edited by a moderator:

We Madame B wewe!!? Mi nakuangalia tu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…