Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,678
- 14,572
Kuna jamaa yangu ana ndugu yake mganga huko Handeni akaja kuniambia tuchange ela kidogo aende kwa ndugu yake afanye utundu tupate kazi nikamgomea. Yeye kaenda na mpaka leo tupo nae benchi.
Kuna rafiki yangu mganga pale Tanga ana wateja watu wa heshima, wakutaka kupanda vyeo,kusaka kazi na shida tofauti. Hata siku moja hajawahi kutuambia jamaa zake ana dawa ya kutafuta kazi. Zaidi ya kusema wazee tupige kazi na kutupa ganji za nauli na photokopi akiwapiga wateja wake.