Nimechoka kuumizwa

Nimechoka kuumizwa

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
100
Wapendwa nahisi kilichobaki nikuiigiza movie za mapenzi nakucheza pati ya kuumizwa maana kila mdada ninaempenda ama kutokea kumpenda kwa dhati ni lazima aniumize, sasa nimekuwa rejendali wa kuumizwa acha ajabu sikomi,

Nilitokea kumpenda binti mmoja wa kiarusha nakumuelelezea mipango yangu na nia ya dhati kwake ikiwa kumfanya mke wangu, nikajitoa kwake na nakumfanyia kila niwezalo kama mwanamke anaependwa kufanyiwa, tulikubaliana kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa lakushangaza nae aliniita nyumbani kwao nakunibwaga eti kwamba hana future namimi niachane nae.

Hivi navyowambia ninastress kibao kila nachoshika hakishikiki zaidi kushinda ndani nimetulizana, yeye ananenepa nakujiachia zake mimi naumia na mawazo juu yake nikujiuliza kwanini ameniacha kwenye hali ngumu kiasi hiki bila huruma.

Naitaji ukaribu wenu nami na wazo yenu maana sijielewi elewi kabisa. Pia najiuliza hii hali itaisha lini ya kuumizwa mimi tu mbona mimi nidecent kwao siwaumiziiii...
 
Tafuta pesa, kuwa na mafanikio zaid, pendeza zaidi ya awali atakutamani baadae wakati huo ameshachelewa.
 
Jogoo vipi anawika au? bia isiyotoa mapovu inakuwa haifai kunyewa
 
Kwa vile wewe huli nyama ya chui haimaanishi akiwa na njaa hatakukulaaa!!!!
 
mwanamke kikuekea mipaka ktk suala la mapenz, et mpaka ndoa ujue hakuna upendo apo nakikubwa anakuwa hana imani na ww mkuu, mwanamke ukiwa unamwambia ukweli kuwa unampenda atakusumbua ni bora umdanganye ndo atatulia na atakupenda sana , takwimu znaonesha kuwa wanaume wanaocheat ndo wanapendwa sana na ma-gal zao tofaut na yule mkweli,,,,,,,try to be a cheater then utafanikiwa (HIV IPO HAIJAISHA)
 
Itakuwa we mpole Sana hawtaki wenzio namna hiyo kuwa mkorofi kidogo.
 
Wapendwa nahisi kilichobaki nikuiigiza movie za mapenzi nakucheza pati ya kuumizwa maana kila mdada ninaempenda ama kutokea kumpenda kwa dhati ni lazima aniumize, sasa nimekuwa rejendali wa kuumizwa acha ajabu sikomi, Nilitokea kumpenda binti mmoja wa kiarusha nakumuelelezea mipango yangu na nia ya dhati kwake ikiwa kumfanya mke wangu, nikajitoa kwake na nakumfanyia kila niwezalo kama mwanamke anaependwa kufanyiwa, tulikubaliana kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa lakushangaza nae aliniita nyumbani kwao nakunibwaga eti kwamba hana future namimi niachane nae. Hivi navyowambia ninastress kibao kila nachoshika hakishikiki zaidi kushinda ndani nimetulizana, yeye ananenepa nakujiachia zake mimi naumia na mawazo juu yake nikujiuliza kwanini ameniacha kwenye hali ngumu kiasi hiki bila huruma. Naitaji ukaribu wenu nami na wazo yenu maana sijielewi elewi kabisa. Pia najiuliza hii hali itaisha lini ya kuumizwa mimi tu mbona mimi nidecent kwao siwaumiziiii...
Uliumizwa na nini mkuu? Mwiba? Au Ulijibana kwenye mlango?
 
Back
Top Bottom