Nimechoka kuumizwa

Nimechoka kuumizwa

Kitu gani Mndendereko nielimishe tafadhali!!
 
Nami nahisi hilo mkuu maana mi huwa mpole sana kwa mpenzi wangu nakumuonyesha mapenzi yaliopitiliza nadhani hii nayo inachangia labda nianze kuwa kauzu!!
 
Mkuu hujaelewa smg yangu, nimeuzwa na mpenzi niliekuwa na malengo nae!!
 
Pole mkaka! c kwako tu bali kwa watu wengi ndo hayo hayo, hata hao wanaokushauri tayari kishawakuta usione wanachekacheka hapo.Eeh bwana tafuta pesa utapata mdada tu wa kukubali ulivyo,ila kuonja japo kdg lazima ingawa ktk maandiko wanakataza.Ila mbona mengi yanakatazwa na 2nayafanya sembuse hili.............Usisahau CONDOM!
 
Back
Top Bottom