Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,422
- 1,254
sijalalaWamekusikia tayar ushalala
Toto za kibongo lazima zikupige kizinga jombaa...Sijui zilizaliwa kwenye kiwanda cha pesa?Eeeeeee jamani jamani kha kama na wewe upo humu ukome, mara ef 10, kesho mwingine efu 30 mara efu 60 , leo ef 25, mwingine nikopeshe lak2, jamani hata ATM wakati mwingine inaishiwa hela, kaeni mkijua huku hali ni tata, hakuna cha deal, hakuna safari,HESLB macho kodo, hakuna kupanda cheo isipokuwa kushuka tu kiufupi mambo ni tight nyie mnopenda kuomba omba hela muaache(wazazi ruksa) wengine kaeni pembeni kwanza mpaka 2021, mkiendelea nitawasema kwa ngwajima
Asanteni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani hawafahamu kama wewe bado mwanafunzi pia unategemea kwa baba??
Sasa wakikuomba tena kataa
kweli nakataaKwani hawafahamu kama wewe bado mwanafunzi pia unategemea kwa baba??
Sasa wakikuomba tena kataa
Kabisa yani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na yeye aache kuomba namba za cm
Aache ubahili, mbona wao wanampa kwanini yeye asitoe!!!Kabisa yani
Ukaribu wa kuomba namba ndio unafanya aombwe pesa