Sir John Deere JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 14,246 Reaction score 27,509 Aug 5, 2023 #121 Illusions
Mpetde JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 5,082 Reaction score 8,368 Nov 11, 2023 #122 daniel lufumbula said: no sababu unalala umenyosha miguu mkuu,,, usijidanganye kuw pengine kuna cha ziada,,, siku moja lala umekunja miguu uone kama utapaaa,, hahahaha Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hili ndio jibu sahihi
daniel lufumbula said: no sababu unalala umenyosha miguu mkuu,,, usijidanganye kuw pengine kuna cha ziada,,, siku moja lala umekunja miguu uone kama utapaaa,, hahahaha Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hili ndio jibu sahihi
Elisa-morningstar Member Joined Mar 12, 2023 Posts 31 Reaction score 34 Jun 15, 2024 #123 Lavit said: Kuna kipindi nimefululiza sana kuota ndoto za kupaa..ila kuna raha yake, ww sijui umechoshwa na nini? Click to expand... Ukiota unapaa ni ishara ya mafanikio kila wakati kwenye maisha adui kila akitaka kufanya jambo lake unapotea unalindwa sana na MUNGU Sasa kama umechoka mafanikio sawa
Lavit said: Kuna kipindi nimefululiza sana kuota ndoto za kupaa..ila kuna raha yake, ww sijui umechoshwa na nini? Click to expand... Ukiota unapaa ni ishara ya mafanikio kila wakati kwenye maisha adui kila akitaka kufanya jambo lake unapotea unalindwa sana na MUNGU Sasa kama umechoka mafanikio sawa