Atakua anatumika na wanga (wachawi) bila kujijua ngoja Mzee wangu wa mastori ya wanga Mr the dragon aje afungue codeSurya uje umtafsirie kijana ndoto yake...pole sana lakini
Wanga wanakupigisha gwaride sio kwamba unapaa bure upo kwenye mafunzo maalum soon utakua kigagula yaan MwangaIyo Ndoto inamaanisha Nini kwa wajuzi WA mambo ya Ndoto?
Sijawahi kuota chochote mkuu,, yani hata sielewi experience yake..nimemtag huyo mtu hapo naonaga anawatafsiria wengine, hope atakuja akutafsirie na wewe 🤗🙏🏼A
Sa
Sio kawaida
Ndoto nzuri sana.Nimechoka Kuota Napaa Usiku.....
Sayansi ya Mzee Mshana Jr imaonyesha kwamba jamaa soon anaenda kua muhandisi huru wa kujitegemea anaeweza kuendesha ndege isiyokua na matairiNi ndoto za ushindi fanya tu meditation/ tajahudi fokasi kwenye mishe zako utafanikiwa, jaribu vitu vigumu na hatari utatoboa. Usikae sana na watu bila ishu ya maana, usitoe pesa kwa wanawake wa mtaani.
...
Same to meI suffer the same sometimes
Soma hapaNdoto kama hiyo mwenzio ujue hapo kampokea Yesu,
Kupaa huko ni Mungu anamuonesha jinsi gani ambavyo Neno la Mungu (Kumjua Mungu) limemsaidia kukwepa vikwazo na matatizo katika maisha.
1:Ukiota unapaa angani
Ndoto ya namna hii ukitaka kuifahamu lazima ujue kwa nini Mungu katumia anga,anga maana yake ni ulimwengu wa nuru ,ardhi ni ulimwengu wa giza ,hivyo ukiota unapaa ni taadhari kutoka kwa Mungu kwamba uache kutembea kwenye ulimwengu wa giza ,hamia ulimwengu wa nuru, nikuhakikishie ukifanya hivyo hutakaa uote tena kupaa sure.
mmh! kampotezaSoma hapa
no sababu unalala umenyosha miguu mkuu,,, usijidanganye kuw pengine kuna cha ziada,,, siku moja lala umekunja miguu uone kama utapaaa,, hahahahaNimechoka Kuota Napaa Usiku...
Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi
Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana
Iyo Ndoto inamaanisha Nini kwa wajuzi WA mambo ya Ndoto?