Nimechoka kuletewa ubuyu kuhusu shemej yenu

stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,226
5,145
Ninamachungu mno na haya maisha haipiti wiki moja anakuja MTU nakunambia "Ohh mkeo tulimwona akiingia Nyumba ya flani" Mara naskia mkeo siku hizi anatembea na Fulani.
JAMAA ILE DAWA YA KUMWEKEA MKE/MUME PINDI ANAPOSALITI NDOA YAKE.KISHA WANANG'ANG'ANIANA HADI UNAWAKUTA LIVE...NTAIPATA WAPI????Kwasababu NIMESHACHOKA KULETEWA UBUYU KILA.LEO.NTAKA NIWAKUTE MUBASHARA WAKIWA WAMENG'ANG'ANIANA PINDI WANAPO NGEGEDANA
 
Pole sn.muhim ukae kwanza na mkeo uzungumze nae ,akikataa kua sio kweli,ww mwanaume fanya uchunguz wako chinchin taratibuu bila yeye kujua ,think and investigate before taking any action
 
Inauzwa huku Kenya, ila udhalilishaji wake balaa...check hii video hapa chini
 
Back
Top Bottom