Hivi tufungue shule za kutongoza au?Habari za muda huu wapendwa katika bwana,natumaini nyote mu wazima.
Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo mchana katika mizunguko angu ya hapa na pale nkakutana na demu ambae niliwahi kumfukuzia kimtindo nikiwa 2nd year but hatukufikia popote coz binti alkua ka mtoto wa geti Kali kimtindo..
Leo nilivyokutana nae,sikusita kuomba namba na kukumbushia mawili matatu,namba nilipewa.
Nimekaa nimetulia jioni ya leo nkaona nimchombeze tena kanitolea nje....
Wataalamu wa rada,mabaharia wapi nimekosea..
Nimepanga kumpotezea sema nimekuja kuchukua madesa incase fursa nyingine ikipatkana..
Au niongeze utundu gani nmnase Leo tumeishia apo.
Umri wake una range 17-19.
No greater love#View attachment 2517801
Vitoto vya siku hizi yaani kinamtongoza mtu kwa maneno ukute hata mia hakijawi kumpa .Habari za muda huu wapendwa katika bwana,natumaini nyote mu wazima.
Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo mchana katika mizunguko angu ya hapa na pale nkakutana na demu ambae niliwahi kumfukuzia kimtindo nikiwa 2nd year but hatukufikia popote coz binti alkua ka mtoto wa geti Kali kimtindo..
Leo nilivyokutana nae,sikusita kuomba namba na kukumbushia mawili matatu,namba nilipewa.
Nimekaa nimetulia jioni ya leo nkaona nimchombeze tena kanitolea nje....
Wataalamu wa rada,mabaharia wapi nimekosea.
Nimepanga kumpotezea sema nimekuja kuchukua madesa incase fursa nyingine ikipatkana.
Au niongeze utundu gani nmnase Leo tumeishia hapo.
Umri wake una range 17-19.
No greater love
View attachment 2517801View attachment 2517802
View attachment 2517801View attachment 2517800View attachment 2517801View attachment 2517802
Hawezi kukubaliwa na siku akipewa ajue kaonewa huruma sio kwamba dada anamtakaIna maana kibuti cha huyu sio negotiable labda huenda akakubaliwa!!??
Mwambie ukweli alipokesea bhana😂😂😂Hawezi kukubaliwa na siku akipewa ajue kaonewa huruma sio kwamba dada anamtaka
Majibu kapewa ya kikatili sana angefanya hayo ya chini angekataliwa kweli ila sio kwa tone hiyoMwambie ukweli alipokesea bhana[emoji23][emoji23][emoji23]
Utatongozaje dry kiasi kile?
Unaonaje angemwalika dina na akampeleka sehemu tulivu.
Mtoto ale vitu vitamu.
Anywe atakacho akichangamka moyo naye aanze kuchombeza...unafikiri angejibiwa dry kiasi kile?
Mzigua90 hebu sema[emoji16][emoji16]
Mimi naona aprochi yake ilikuwa ya kitoto sanaMajibu kapewa ya kikatili sana angefanya hayo ya chini angekataliwa kweli ila sio kwa tone hiyo
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app