Nimechezea za mbavu leo

Nimechezea za mbavu leo

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2020
Posts
488
Reaction score
740
Habari za muda huu wapendwa katika bwana,natumaini nyote mu wazima.

Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo mchana katika mizunguko angu ya hapa na pale nkakutana na demu ambae niliwahi kumfukuzia kimtindo nikiwa 2nd year but hatukufikia popote coz binti alkua ka mtoto wa geti Kali kimtindo..

Leo nilivyokutana nae,sikusita kuomba namba na kukumbushia mawili matatu,namba nilipewa.

Nimekaa nimetulia jioni ya leo nkaona nimchombeze tena kanitolea nje....
Wataalamu wa rada,mabaharia wapi nimekosea.

Nimepanga kumpotezea sema nimekuja kuchukua madesa incase fursa nyingine ikipatkana.

Au niongeze utundu gani nmnase Leo tumeishia hapo.
Umri wake una range 17-19.
No greater love
Screenshot_20230214-224937.png
Screenshot_20230214-224930.png

Screenshot_20230214-224937.png
Screenshot_20230214-224946.png
Screenshot_20230214-224937.png
Screenshot_20230214-224930.png
 
Unatongoza Unamuuliza Demu. Hunitaki?.

 Unatongoza unamwambia Demu. Vipi kuhusu ombi langu?

Mbona Kila siku nawapa shule za Hawa viumbe lkn hamuelewi tuu?.

mwanamke yoyote anataka " attention and Desire " yaan mwanamke anataka wewe umtake na ukishaonyesha kumpa hivo viwili, Huwa Sasa Mpira ni wake , anakua na power ya kuexercise u feminine wake .....JAMBO AMBALO MTONGOZAJI HUTAKIWI KULIRUHUSU.

Mwanamke unatakiwa umtongoze katika Angle ya kumfanya yeye akufukizie wewe ,yaan ajione akikukosa atakua kapoteza bahati.

Nadhan inabidi nianze kuwaandilia Vi -PDF niwalete humu.

Vijana hamjui kutongoza kabisa.

Na mbaya zaidi, hujakulia kile kipindi chetu cha kutokua na simu.

Demu anasoma shule ya Mkoa mwingine,
Unaandika Barua yenye Kurasa sita.

Hawa madogo wangeweza kweli?

Sisi Barua nzima ,ingejaa maswali utadhani unafanya post internship examination?

WANAWAKE HAWAPENDI MASWALI, NI NATURAL DEEPEST NEEDS YA WAO KUTOTAKA MASWALI. IN FACT WANADAM TUMEUMBWA, KUTOKUTAKA MASWALI .
 
Back
Top Bottom