Nimecheka sana....


Tuhamie zetu Mtv.... Na kuleee Nigeria yaan leo nikishika Pc ntapiga kura hata milioni 10
 

Hapo biashara ndio humaliza kila kitu. Maana kura za watu ndio zinaingiza hela zaidi. Wakifanya kama unavyotaka Barnaba atawaburuza sana
 
Tuhamie zetu Mtv.... Na kuleee Nigeria yaan leo nikishika Pc ntapiga kura hata milioni 10

Hahahaaa utasikia mlipiga kura? Stupid ! Tutalalamika ikiwa hatujapiga kura? Wanatuona sie vichaa au!
 


Peleka tuhuma kwa hawa watu wanaojiita #teamkiba na #teamdiamond , wao Ndo wamefanya hayo mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…