Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
TZ Hata Kobe anaweza kulazimishwa kupanda juu ya MTI.....[Diamond ana ushawishi kwa Rais JK anaweza kuutumia kumshawishi afumue BASATA na kuiunda upya na baadhi ya mambo yawekwe. 1.Kura zichukue angalau 30% 2.Kuwepo na majaji wasomi wanaojua mziki na hawa watumike pia kupanga Categories. 3.Waongeze kipengele angalau cha msanii mkubwa Africa.
Aliwanunua una ushahidi??
Who alleges must prove...
Lets presume aliwanunua hapa bongo kwahiyo London, Dubai , Rwanda, Burundi kote alijaza mafuriko ya watu.. Je na huko alinunua??
Lets vote #MTVBase darln. Wabongo huwezi kutuweza.
Mtv ??
Tuzo hazina maana hizi sababu imeishia kuwapa watu tuzo kiushabiki na sio kutokana na ustahili wao. Ingewezekana hizo tuzo zingefanyiwa kazi na majaji tu ila kuwapa fursa watu kupiga kura kunaonekana kutotoa tuzo kwa uhalali wake
Kwani kulikua kuna tuzo ya msanii aliyechuma pesa zaidi au tuzo ya msanii anayejaza mashabiki wengi kwenye tamasha?
.View attachment 259992
Sema nn inabidi Hizi tuzo za dai tuzihamishie makumbusho ya Taifa maana ni nyingi kupita kiasi
TZ Hata Kobe anaweza kulazimishwa kupanda juu ya MTI.....[Diamond ana ushawishi kwa Rais JK anaweza kuutumia kumshawishi afumue BASATA na kuiunda upya na baadhi ya mambo yawekwe. 1.Kura zichukue angalau 30% 2.Kuwepo na majaji wasomi wanaojua mziki na hawa watumike pia kupanga Categories. 3.Waongeze kipengele angalau cha msanii mkubwa Africa.
Hahah nimecheka sana
Diamond kamzidi kipi Kiba?acheni unafki!!!Mkuu hapa ndipo utata ulipo
Ni nini mmasharti na vigezo kumpata mshindi?
Kwa KTM inaonekana vigezo ni kura pekee ndio huamia mshindi, na kama hilo ni kweli basi Ali Kiba ana haki yakupata tuzo hizo iwapo kura zake zilikua nyingi Kuliko washindani kwa kila kategori
Tatizo la maamuzi ya kura pekee ndio huleta malala miko kama haya tunayo yaona, kura haiangalii vigezo vingine as long as umekua nominated
Tuzo nyingi kura hubeba asilimia fulani tu ya maamuzi na jopo la majaji wataalamu wanaangalia others factors
Ukiondoa vigezo vya kura kupata mshindi, Chibu amefanya vizuri sana mwaka jana kuliko Ali kiba katika nyanja zote, na ndio maana mwaka huu utaona malalamiko mengi tofauti na mwaka jana
Mwaka jana Chibu ni kama alikua peke yake tu hakuwa na mtu aliyefanya vizuri sana zaidi yake so alipochukua tuzo saba kura na others factor zikawa sawa na ikaonekana ni sahihi na haki yake
Mwaka huu tofauti kidogo, Chibu katengenezewa "mpinzani" ambaye amefanya vizuri kiasi chake, na kwenye kura nyingi zikapigwa kwa Kiba na ameshinda
Sasa shida imekuwa ni vipi kuhusu others factor?
Kweli Kiba ana ubora kuliko Diamond hadi kumzidi tunzo zote hizo?
Jibu ni HAPANA, ila ameshinda kihalali sababu ya vigezo na masharti ya only kura na si kwasababu Kiba ni bora kuliko Diamond
Watu watakujaje kujaa kwenye show yako yenye kiingilio ghali kama huwezi watumbuiza kulinganisha na fedha zao? Ali kiba alimtumbuiza nani na wapi?Kwani kulikua kuna tuzo ya msanii aliyechuma pesa zaidi au tuzo ya msanii anayejaza mashabiki wengi kwenye tamasha?
Hamna kitu kimenifurahisha kama Kusikia ally kiba ni mtunzi bora zaidi ya Barnaba!!!... barnaba anayetunga nyimbo zake, za vanessa mdee pamoja na hii nyimbo inayotamba san ya Ruby...anapitwa na mtunzi wa cheketua...!!!!
ally kiba kuwa mtumbuizaji bora.. Mbele ya Diamond... Kitu ambacho hata kipofu anaona Diamond is the best performer...
ally kiba kuwa mwanamuziki bora wa kiume kwa mwaka 2014... !!!
Mbele ya mshindi wa tunzo za channel o 3 kwa mwaka 2014... Nominee wa Bet na Mtv, mwanamuziki aliyejaza kwenye maonyesho kushinda wote kwa mwaka 2014, mwanamuziki aliyechuma pesa nyingi zaidi mwaka 2014, Mwanamuziki aliyetajwa zaidi kwenye Vyombo vya Habari vya kimataifa na kitaifa, mwanamuziki anayeongoza kwa nyimbo zake kuangaliwa Youtube na vituo vya kitaifa na kimataifa, Mwanamuziki ambaye nyimbo zake (audio)zimekaa kwenye chati za kitaifa na kimataifa kushinda Yeyote yule Tanzania....
Narudia Tena nimechek sana yaani😂😂😂,, maana kuna vitu wanasema res ipsa yaani ... A thing speaks by itself...
hata kama kulazimisha kumpandisha mtu au kutengeneza equilibrium huku sasa kumezidi.... Hamna haja ya kulaumu mtu yeyote cuz ni desturi ya wabongo kulazimisha kumshusha aliye juu... Diamond mjanja ndo maana hakujisumbua kuja kudhalilishwa na yy ally kiba kwa aibu kuona atapokea haramu eti na yeye
hahaha....Noma sana