Nimecheka sana

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,730
Mjaluo mmoja akieleza jinsi jambazi la Kikurya lilivyovamia hoteli yao kule Sokolabor na kumuua mwenye hoteli kisha kupora pesa kibao:-
MJALUO: Ile mitu, ile jamwaa, Jatende, ilipoingia tu ndani ya hotel kwansa ilimpiga risasi Onyango akafa, ikampiga risasi ya pili akafa sana, ikapiga risasi ya tatu akafa kabisa, ikapiga risasi ya nne akafa kwelikweli na ilipopiga risasi ingine, ohoo Onyango akafa moja kwa moja...
 
I see, inaelekea Onyango alikuwa na roho saba eh? Ha ha ha ha ha ha haaa!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…