Nimecheka sana ingawa sijapenda

Nimecheka sana ingawa sijapenda

sf_01.jpg
 
mkuu wanasisa wenu ni wendawazimu sana,

Kweli nimeamini Tz, tuko nyuma sana ki democracy, ktk siasa hakuna jipya hapo mkuu, ndio maana wanasema hakuna rafiki/adui wa kudumu ktk siasa. Ni viongozi wangapi huwa wanawaingiza wanachama wao katika mapigano makali, watu wanakufa baada ya muda wanakaa meza moja na kugawana madaraka na maisha yanaendelea, mfano odinga na kibaki mwisho wake ilikuwaje??! uadui uliopo kati ya mseveni na kiza besigye /sasa na MBABAZI, unajua walikotoka?? sasa hili suala la EL, mmelikomalia kana kwamba ndio tukio la kwanza la aina hiyo duniani??! Hapa inaonekana ni uoga wenu tu juu ya lowasa hakuna jingine. Na hakuna mpenda mabadiliko yeyote hapa tz anayeumia na combination hii!! nyie magamba ndio mnajifanya kuihurumia CDM,!!!! hiyo huruma imetoka wapi leo. mala dr. slaa ndio anafaa zaidi, wewe hayakuhusu. kwani hamkutegemea kama hii itakuja tokea. YAANI RONALDO aende jkt ruvu kuomba asajiliwe bure, eti wakatae kisa Yanga/simba watasema huyo anapenda mademu sana, ataua timu!!! MWAKA HUU MNALO.
 
ukisema hiki chama ni cha mtu mmoja unaonekana hujui , sasa ona ilivyo..


tuonr kura zamaoni sasa kumpitisha mgombea UKAWA. .

uvi nani tena kuchukua fomu chadema? ??? ( mzee kesha amua (
 
tujenge Nchi jamani,mwanasiasa mwenye nia njema hajulikani HIVO basi Let us keep aside our political differences and build our country as J.F Mbatia always says
 
Back
Top Bottom