Nimechapiwa leo

Sema Cha kufanya nn mkuu,
Mwanafa alishaimba kua ukimegewa nawe tafta mnyonge wako ummegee.

Haipunguzi maumivu,
Ila inarudisha hadhi ya kiume.

Xmass ndefu Sana Hii.
Na Muda bado unao mkuu[emoji4]
Dah! yani huyu shingo namkubali sana ingawa nilishaweza zoezi la kutomshobokea so huwa hata siwazagi kula demu mwingine
 
Hakika
 
Dawa ya mwanamke siku zote Ni mwanamke mwenzie.

Mtafte shoga yake wa karibu utoke nae out leo,Hata usipomtongoza au kulala nae.
Jitahd sn nae ajue tu ulitoka nae.

Naamini akijua itamuuma na ataweweseka Sana kujua nn kilijiri huko.

Ukiona hajaweweseka na kuchukulia poa,
Ujue mapenzi yameisha, uko aliko keshanogewa[emoji4]
 
Yaani yeye ndiye anayekukontroo,duuh! wadada wa hivyo,ikitokea umemuoa ndiyo wale akiulizwa 'humuogopi mumeo'?anajibu'nammudu ntaenda nikitaka we fanya yako.
 
Kisasi ni kumla ndogo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…