Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,743
- 3,319
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1]Achana na kupenda penda, utakufa mapema Kwa magonjwa nyemelezi.
Fungua phone book, tafuta namba ya Yule ulomuwekaga spare, Anza kumchatisha....akireplay....ah palipobaki malizia mwenyewe!
"Haipunguzi maumivu Ila inarejesha nguvu ya kiume/ kike"
Kweli kaka,nakumbuka visent vyangu na tuzawadi nlivyompa majuzi kati najiona fala sanaTafuta [emoji383] usaidie yatima kuliko .........
Hatari sanaUyo ni kahaba ana ombaje outing kwenye status??
Mkuu huo ni uhalisia kutoka eneo la tukioDuh! Kua serious basi[emoji848]
Ushindani wa namba unakua mkubwa sana eeh!?Sema Nini mkuu, jikaze kiume
Kuchapiwa siku za sikukuu kawaida,
Hata mwamba mmoja alishaanzisha Uzi akatabiri Hilo, Sijui nani yule nmemsahau jina
Ila yote kheri maana sikumkuta bikraLeo chaga zinashida Sana, guest haziruhusu kulala ni mwendo wa short time
Ina maana mwanamke wako hukumuandaa mapema xmas hii out ni wapi,mpk aanze omba omba out kwenye status?Niaje wadau
Jana usiku nimekuta kajiwekesha status kana kwamba anaomba mtoko leo
Kuanzia asubuhi ya leo nlimtxt ila mpaka sai nnavoandika hajajibu.
Na hiki kihali cha hewa leo dah! yani huko alipo raia anajisevia tu.
Nipeni mbinu ya kisasi gani kitumike baada ya hili tukio.
Kweli kaka,hili nalo lakutazamwa kabisa.Ina maana mwanamke wako hukumuandaa mapema xmas hii out ni wapi,mpk aanze omba omba out kwenye status?
[emoji3596]Kama bado una hustle achana na mapenzi
Pambana kwanza