Nimechanganyikiwa nahitaji msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimechanganyikiwa nahitaji msaada

Discussion in 'JF Doctor' started by Mzito Kabwela, Aug 30, 2011.

 1. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  HILI TATIZO NI LANGU MIMI MWENYEWE.
  Yapata mwezi mmoja hivi nimekuwa nikiexperience kitu cha ajabu sana mwilini mwangu nacho ni uwezo mdogo wa kufanya ngono.
  Lakini cha kushangaza, hili halitokei kila wakati. Kuna wakati naweza kupiga kazi kama kawaida hadi mimi mwenyewe nashangaa. Kuna wakati mashine haisimami kabisa labda hadi niichezeshe kwenye uke wa mwanamke na ikipata nguvu kidogo nikiingiza tu ndo mashine inapata nguvu lakini sio ile inayotakiwa. Hili limetokea zaidi ya mara 10 ndani ya mwezi mmoja. Lakini kuna kipindi napiga kazi hata kama ninaumwa nakuwa very sensitive.

  Siku za nyuma ilikuwa hata nikitongoza tu mashine inasimama. Nikitoka kuamka asubuhi pia mashine inakuwa imesimama, sasa hivi hivyo vitu havipo tena. Hata huo ufanisi ninaousema ni hadi mwanamke avue nguo nione maungo yake nimshikeshike ndo kitu kinasimama. Kiukweli kuna wakati naweza kufululiza hata siku 4 nikichapa lakini ndo hivyo wakati mwingi mashine kusimama ni kwa mbinde.

  Nilipoenda Hindu Mandal waliniambia nina BP 130/90 na Cholesterol imezidi kwa 0.5 pamoja Triglyeceride zimezidi sana. Daktari akasema itakuwa hiyo Cholesterol na Triglyeceride zinasababisha nguvu ziwe zinakuja na kutoweka.

  sasa basi,
  1. Kutokana na hali hiyo ni sawa sawa kuamini kuwa nina Upungufu wa nguvu za kiume?
  2. Cholesterol na Triglyeceride zinachangia hilo la upungufu wa nguvu hizo?
  3. Nifanyeje ili nirudi katika hali ya kawaida?
   
 2. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Na nyinyi nanyi kila mukija munakuja na stori za ngono tu. Ndiyo maana hamuna hata muda wa kusoma vitabu ni kufikiria mambo hayo tu.
   
 3. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hata viungo navyo vinachoka havisemi tu!
   
 4. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Umri haurudi nyuma katu Mkuu! Na haya machakula yetu ndo kabsaaaa!
   
 5. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #5
  Sep 1, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,249
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Dk aliyekupa hayo majibu bila shaka ushauri na tiba amekupa!
  Endelea kujiuguza! Chunga usije kuwa punga kuna vijana wanakutamani!!!
   
 6. s

  samdala Member

  #6
  Sep 25, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nina daw ya kupunguza cholesterol nadhani hiyo ndo itakuw tiba yako....inaitwa omega three....ni natural product...ni pm.
   
 7. S

  SURN JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haa unazisha kaka mara 10 kwa mwenz.lazma uume uchoke.punguza ngono
   
 8. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Mkiambiwa fanyeni mazoezi hamtaki!! Watu kama nyie nadhan zoezi kubwa ni kanyanyua glasi na kijiko tu!! We subiria kuibiwa mke tu
   
 9. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  zoezi+mboga za majani+maji mengi+ wanga kiasi.....muone dokta.
   
 10. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Inaonekana tu kama una taizo ... KIMSINGI HUNA TATIZO ... take that imagination out of your mind kuwa una tatizo ...hali hiyo inayokuaja na kuondoka ..ni ya kawida... Na kumbuka ukweli huu ... Sex iko ili kujifunza kuicha ...less and less is the rule ...till unazeeka hakuna kufanya kabisa...!!!
   
 11. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  tatizo
  inayokuja
  kawaida
  kuiacha.
   
Loading...